barnabas masoko
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 1,299
- 660
Hapa inahisishwa maradhi yote ya tumbo ikiwemo vidonda sugu vya tumbo pamoja na wenye matatizo ya gesi tumboni.
Tafuta majani ya Songwa au (Msongwa) majani kiasi tu loweka kwa muda wa masaa mawili na zaidi maji yawe Lita zisizopungua tatu.uyatumie kwa muda wa Siku tatu hii ndani ya Siku hizo tatu itakuwa umepona au umeona mabadiliko makubwa.cha kuzingatia ni kwamba majani haya yachumwe kwenye uoto wa baridi kanda zenye baridi kama mbeya has a rungwe.ndani ya Siku saba utatoa ushuhuda wako
Kwa maelezo zaidi 0753224347
Barnabas Masoko