Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 604
- 218
Nashida mmoja tu kubwa nipo kwenye program yangu ya kupunguza mwili( na maanisha sina mtaalamu wakuniongoza) huwa nafanya mazoezi kwa muda wa lisaa limoja hadi na nusu ila si chini ya lisaa limoja( najitahidi kuongeza muda mdogo mdogo coz mara ya kwanza nilkuwa na piga kwa dak 20 tu nipo hoi) Tatizo langu kubwa na pungua ila napungua kwa rate ndugu sana unakuta mwenzi mzima na pungua kilo 5 au ata kilo mbili.
Tatizo langu kubwa kwa sasa ni mpangilio wa vyakula kwa hiyo kama kuna mtaalamu wa hivi vitu naomba anisaidie kupangilia vyakula maana nilimpataga mtu aliniambia yeye mtaalamu wa vyakula akawa ana nishauli nile mlo mmoja nilifanya hvyo matokeo yake nikawa sina nguvu kipindi cha kufanya mazoezi.
Na pia nikipata mtaalamu wa mazoezi naye siyo mbaya kunipa ushauri maana mimi sifanyie mazoezi GYM
Sent using Jamii Forums mobile app