Msaada: Misuli ya njia ya haja kubwa imekaza

Msaada: Misuli ya njia ya haja kubwa imekaza

Fuqin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
306
Reaction score
629
Nimepata tatizo la kukazika misuli ya njia ya haja kubwa, hali inayopelekea kupata haja kubwa kwa shida sana na tumbo kuuma kutokana na kinyesi kubakia katika utumbo.

Yote haya yametokana na mimi kufanya sana mazoezi ya KEGEL ili kuimarisha misuli ya kiume lakini na misuli yote maeneo yale imekaza.

Sasa naombeni ushauri jinsi ya kujitibu kwa sababu nilienda pharmacy nikapewa dawa za kupata choo zimenisaidia kidogo ila bado misuli imekaza.

Je, zipo dawa za kulegeza kidogo misuli hii?
 
Pole Mkuu ila angalia usijeshauriwa "vinginevyo" ili kulegeza hiyo misuli!
 
Back
Top Bottom