Tatizo hili huenda likawa ngiri?

Tatizo hili huenda likawa ngiri?

boga la kiangazi

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
504
Reaction score
684
Salaam sana wakuu katika JF.

Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la korodani moja kuvimba tangu utotoni na hata kupanda juu maeneo ya kibofu kiasi kwamba hata kutembea inakuwa ngumu, hadi uirudishe kwa kuisukuma ndipo upate ahueni.

Pia inanisononesha kuona inakuwa vigumu kurudia game baada ya goli la kwanza kiasi kwamba kama ni show time unaishia kimoko tu.

Kingine ni uume kuingia ndani kiasi kanakuwa kama kamtoto ila ikisimama inakuwa normal. Nimejaribu hospital na hata mtaani lakini sijapata suluhisho.

Je, tatizo litakuwa ngiri kama wanavyoniambia watu wangu?

Ni ipi namna ya kumaliza tatizo hilo?

Wasalaam.
 
Umeenda hospital gani? Hiyo ni Hernia kitaalamu huitwa reducible Hernia. Nenda Muhimbili kitengo cha upasuaji utafanyiwa operation na mambo yatakuwa fresh.

Kama uko mbali na Dar basi tafuta hospital kubwa unayoweza kufanyiwa operation.
 
Glenohumeral joint,
Sipo Dar na nilishakwenda hospital ya wilaya ya Meru wakaniambia nifanye oparesheni na kunipa transfer Mount Meru lakini kufika wananifanyia ultrasound kuangalia prostate cancer na majibu yakawa negative.

kwa Sasa ni miaka mitatu sipo tena Arusha.

Asante
 
Back
Top Bottom