Amir mussa ali
New Member
- Dec 30, 2016
- 2
- 0
Hamjambo mwa jf Mimi imeto kea kusumbuliea na kichwa mwezi was tatu sasa hasa has a sahemu ya utosini na moshipa ya damu huvimba na kuvita.hujisikia wakat mwenginr uchovu kizunguzungu na mafua nimeenda hospital kutanya vipimo zaidi ya vitatu negative mwisho ikanibidi nipime blood count nikaambiwa red blood cells zangu ziko juu na hg iko juu 17hg nikashauriwa kufanya blood transfusion OK haikuwa tabu nikatoa damu chupa moja .lakini tatizo halijaondoka naomba msaada madoct