Nimepata shida hizi baada ya kufanya mapenzi naomba ushauri

Danube nephew

New Member
Joined
Feb 21, 2020
Posts
4
Reaction score
1
Jaman msaada tafadhali nilitoka na mschana wa babashop
Kesho yake nikahisi kama kunavitu mwilini baaada ya Siku tatu nikawa nasikia maumivu kama kunasindano mwilini, hali imeenda kuwa mbaya zaaidi mpaka SAS misuli, joint na sehem ya mbavu kwa chini zinauma sana.

Mikono inawaka moto na miguu inawaka moto vile vile sehem ya kukanyagia, nimepima magojwa ya ngono yote majibu yanakuja negative.

Nimepiga blood picture bado madaktar wananiambia hakuna ugojwa SAS ni miezi mitatu SAS msaada jamn kwa anaeweza jua tatizo hili.

MAONI YALIYOTOLEWA
Habari,
Pole kwa yaliyokukuta.
Binafsi naweza kulizungumzia katika mazingira yafuatayo:

1: Inawezekana ulikuwa haujashiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu. Hivyo, siku hiyo ukajituma kupita kiasi na pia sijui kama wewe ni mtu wa mazoezi.
Kutokana na kujituma huko uliuchosha mwili kupita kiasi. Ulipopata matokeo ya huo uchovu uliopitiliza ukawa na hofu. Hofu yako imeendelea kuwa iliyopitiliza na kukulete au kuzidisha zile dalili za mwanzo. Hivyo, hii inaendelea kuwa ni mzunguko wa tatizo moja kuongeza au kuanzisha jingine.

2: Tatizo ulilonalo linaweza kushabihiana na ugonjwa unaoshambulia mfumo wa joint na mishipa ya fahamu. Haujasema ulipima muda gani baada ya tendo husika na kama ulirudia vipimo. Moja ya ugonjwa unaoweza kushambulia mifumo tajwa hapo juu ni pamoja na kaswende. Hivyo, ni vyema kuru
 
Mmh mbona umetoweka usije kua ume RIP, ukuje ujibu maswali yakhe.
 
Habari zikufikie popote ulipo hata kama ni Akhera Madukani Street. Ila kwa kweli weye ni shujaa ka wale wa maji maji. Walioambiwa kuwa shaba itajakuwa maji ya kuogea. Babashopu ukasuguliwa na maziwa mgando ukala ugali bila kunawa?? Kwani weye hukuona kinga au yale maziwa yalikuaminisha kuwa; Huyu hawezi kuwa nao?

Pole sana. Sasa, nenda tu kanisani ukatubu, uongozwe sala ya toba, uokoke, umpokee Bwana Yesu Kristo awe Bwana na Mwokozi wako. Yeye amesema; Zab. 103:3 Akusamehe makosa yako yote, Akuponya maganjwa yako yote.

Sasa fanya hivi nawe utapona mara 2. Yaani utaponywa magonjwa yako hayo na utaponywa roho pia. Utakuwa kiumbe kipya kabisa na hayo maroho yanayokutembea hayatakutembelea tena.
Yule binti aliiona ile wallet yako akatamani urudi ila hukurudi
 
Ajali kazini
NB
Yaskie kwa mwenzio,make sure hayakukuti ww
 
Habari,
Pole kwa yaliyokukuta.
Binafsi naweza kulizungumzia katika mazingira yafuatayo:

1: Inawezekana ulikuwa haujashiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu. Hivyo, siku hiyo ukajituma kupita kiasi na pia sijui kama wewe ni mtu wa mazoezi.
Kutokana na kujituma huko uliuchosha mwili kupita kiasi. Ulipopata matokeo ya huo uchovu uliopitiliza ukawa na hofu. Hofu yako imeendelea kuwa iliyopitiliza na kukulete au kuzidisha zile dalili za mwanzo. Hivyo, hii inaendelea kuwa ni mzunguko wa tatizo moja kuongeza au kuanzisha jingine.

2: Tatizo ulilonalo linaweza kushabihiana na ugonjwa unaoshambulia mfumo wa joint na mishipa ya fahamu. Haujasema ulipima muda gani baada ya tendo husika na kama ulirudia vipimo. Moja ya ugonjwa unaoweza kushambulia mifumo tajwa hapo juu ni pamoja na kaswende. Hivyo, ni vyema kuru
 
maadamu hauna STD boss your safe...hayo mengine utapata majibu tu...pengine unamatatizo ya kiafya kwa muda mrefu lakini dalili ndo zinajitokea sasa hivi...endelea kufanya uchunguzi wa afya yako
 
kweli kabisa..kwakuwa inakuwa ni vigumu kulizungumzia kwa familia
Hakika kaka
Habari,
Pole kwa yaliyokukuta.
Binafsi naweza kulizungumzia katika mazingira yafuatayo:

1: Inawezekana ulikuwa haujashiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu. Hivyo, siku hiyo ukajituma kupita kiasi na pia sijui kama wewe ni mtu wa mazoezi.
Kutokana na kujituma huko uliuchosha mwili kupita kiasi. Ulipopata matokeo ya huo uchovu uliopitiliza ukawa na hofu. Hofu yako imeendelea kuwa iliyopitiliza na kukulete au kuzidisha zile dalili za mwanzo. Hivyo, hii inaendelea kuwa ni mzunguko wa tatizo moja kuongeza au kuanzisha jingine.
Tafuta vidonge vya ligaba/ pregasafe/lyrica pia tumia vidonge vya vitamin b complex mfano neurobion forte, neurosuport. Hilo tatizo halisababishwi na kufanya mapenzi. Hilo tatizo linaitwa peripheral neuropathy
Neuron zitakuwa demaged. Leta mrejesho baada ya kutumia hizo dawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks

Nitajarb japo nimetumia vidonge vya vitamin B mpaka vikaisha
2: Tatizo ulilonalo linaweza kushabihiana na ugonjwa unaoshambulia mfumo wa joint na mishipa ya fahamu. Haujasema ulipima muda gani baada ya tendo husika na kama ulirudia vipimo. Moja ya ugonjwa unaoweza kushambulia mifumo tajwa hapo juu ni pamoja na kaswende. Hivyo,no
kaka ndo nijaja jamii. Forum pia watu wananicheka

Japo nmetmia dawa za vitamin B na allergic kwa sana stiil worse
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom