Cefixime ni dawa gani? Inatibu nini?

Ni dawa inayotibu magonjwa yanayosababishwa na bakteria kwa kuzuia ukuajj wake. Magonjwa hayo ni kama vile Maambukizi ya njia ya mkojo (UTI), kisonono (gonorrhea), n.k.
 
Fanya hima ukapime huwenda yeye kaitumia kwakuhisi ana UTI ya kawaida bila wewe kujitibu pia, atakuwa anateanga maji kwenye kinu akidhani yatalainika zaidi ya pale yalivyo
UTI sio sexually transmitted disease..labda uvuke mipaka na kwenda chumba cha pili
 
UTI sio sexually transmitted disease..labda uvume mipaka na kwenda chumba cha pili
Hatari kwahiyo unadhan binti atakuwa kahamishia matatizo kutoka mgongoni kuja kwenye njia ya mkojo? Vipi mumewe hapaswi kuwa na wasiwasi
 
Hatari kwahiyo unadhan binti atakuwa kahamishia matatizo kutoka mgongoni kuja kwenye njia ya mkojo? Vipi mumewe hapaswi kuwa na wasiwasi
Wanawake wengi wanapata UTI kwa kutumia vyoo vya hovyohovyo,kwa kushindwa kujiswafi vizuri baada ya haja kubwa n.k..hakuna haja ya kuwa na wasiwasi kwa mwanaume,,cha msingi atumie dawa na aongeze usafi na asitumie kila choo ili mradi tu..
 
Darmian,
Vipi choo cha kukaa hata ukikisafisha vopi hakiwezi kuwa chanzo maana maumbile yao na mkojo unapoangukia ni changamoto kwelikweli
 
Vipi choo cha kukaa hata ukikisafisha vopi hakiwezi kuwa chanzo maana maumbile yao na mkojo unapoangukia ni changamoto kwelikweli
Ndio mkuu hii pia ni chanzo..na maumbile yao ndo yanawafanya wawe kwenye risk kubwa
 
Aisee Leo naua mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
unapaniki bure, dawa ya u.t.i iyo mkuu japo inatibu na gono. ungekuwa na ilo gono usinge chukua muda kujua

Hata ingekuwa ni gono sio kufikia uamuzi wa kuua mtu badala yake ni kujitibu tu mkubwa.

acha kupekua pekua bila ridhaa utakuja kufa kwa presha bure, kama dawa za u.t.i zinakupa mawazo hivi vp? ungekuta mbegu za mahindi (a.r.v) si ungekata moto kwa mawazo
 
Back
Top Bottom