Mtaalamu wa kutibu ugumba kwa wanawake kwa kutumia mitishamba anahitajika

ukabu

JF-Expert Member
Dec 9, 2011
212
68
habari wana jamvi kama ww ni mtaalamu wa mitishamba kwa ajili ya ugonjwa wa ugumba kwa wanawake ama una mfahamu mtaalamu wa mitishamba mwenye utaalamu huo tafadhali wasiliana na mimi 0759212578
njoo tuyaongee tuyajenge
 
...(kama) unamfahamu mtaalamu wa mitishamba mwenye utaalamu huo tafadhali wasiliana na mimi

Mitishamba itibu ugumba? Hebu achana na mambo ya kijima.

Nendeni Hospital. Kuna dada mmoja alikuwa na tatizo la kutopata ujauzito na hedhi sumbufu. Alishauriwa kwenda Agha Khan japo gharama kidogo. Mwisho wa siku vipimo vikaonyesha mirija ilikuwa imeziba. Baada ya kutumia dawa alipata watoto.

Hao wa mitishamba wataishia kufanya trials and errors tu. No guarantee mazee.
 
True 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom