Naomba kufahamishishwa kuhusu kipimo cha Malaria

Naomba kufahamishishwa kuhusu kipimo cha Malaria

Laptop001

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2020
Posts
204
Reaction score
182
Nini sababu ya kitaalamu mtu anapopimwa Malaria wahudumu wa afya wanatoboa kidole cha mkono wa kushoto na si kulia?
 
Wengi hutumia mkono wa kulia kwa shughuli nyingi psmoja na kuandika. Damu ikitolewa mkono wa kushoto hata kama utapata maumivu hayataathifi shughunguli zako za kila siku.
 
Sio lazima iwe kushoto au kiwe kidole, sehemu yoyote ya mwili wanapoweza kupata damu; cha msingi uwe comfortable.
 
Back
Top Bottom