Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU: Habari wana JF, naomba kuelezwa ni tarehe zipi ndani ya mwezi naweza fanya mapenzi na mke wangu bila kutumia kinga na asipate ujauzito. Natanguliza shukrani kwa...
0 Reactions
494 Replies
958K Views
Habari zenu waungwana, poleni na majukumu ya kila siku. Tatizo langu mimi ni kua nikifanya mapenzi kawaida ua napiga mzigo alafu baada ya muda mzigo unapoteza hisia yani sijiskii kuendelea...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu, Naomba kuuliza jambo moja la muhimu sana kwangu. Mimi nina mke sasa wakati anajifungua aliongezewa njia mtoto akatoka salama baada ya mda akafariki, sasa saizi ana ujauzito mwingine...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, poleni na majukumu. huu ni ugonjwa gani umenipata, ilianza kama siku tatu zilizopita, naona mkono unaniwasha na jana na leo ghafla naona pamekuwa hivi na bado panawasha...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
An insight to most common emotional problems in our societies DEPRESSION Mental health professionals consider depression serious enough to be treated when negative feelings don’t resolve...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tafadhali tunaomba msaada wa haraka kutoka kwa wataalamu walio humu.. . Mke wangu leo toka asubuhi ameamka na MAUMIVU ya TITI Lote hasa sehemu ya chini ya titi.. . Hali iliyompelekea kupanda...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Habari wakuu! Inakuwaje jino/ meno yangu / yako uyang'olee hospitalini kisha ukatazwe usirudi nalo? Hii ni sheria ya wapi? Na ni kwanini?.
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Habari wajuzi wa mambo ya tiba na ushauri, juu ya magonjwa. Kiafya niko vizuri sana, kwa maana sina ninaposikia maumivu makali, isipokuwa nimepata hitilafu katika msuli wa mguu wa kulia nyuma ya...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu kwema nombeni msaada kwa anaejua tabia anazokuwa nazo mtoto alie zaliwa katanguliza miguu... Huwa wakikua wanakua na tabia gani kwenye jamii.....asanteni am better here
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Habar wanaaa wa jf Tatizo lililopo ni wakati wa Kubarehe kunakuwa na mabadiliko mengi mojawapo kifua kutokwa na vinundu kwenye chuchu na hiloo lilinipata lakini mbaka sasa bado lipo nlikuwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mke wangu kaenda hospital kapewa dawa zinaitwa nyoskine butylbromide kila sijajua zinatibu ugonywa gani Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Natumaini wazima, Hebu wagonjwa wetu ambao ndo sababu ya kuwepo kwetu, msingekuwepo nyinyi na sisi tusingekuwepo pia. Leo niwakaribishe mje mseme kero ambazo mnakutana nazo mnapokuja kwenye...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Kikawaida baada ya kujifungua hutakiwi kuziona siku zako kwa muda wa meizi sita, hii hufahamika kitaalam kama (Lactational Amenorrhea Method) ni moja ya njia ya asili ya uzazi wa mpango ambapo...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu hii ni dawa gani na inatibu magojwa gani? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari wadau, Nauliza suluhisho la mtoto anaetokwa na vipele sehem za siri hasa wakat huu wa joto Je, ni joto Allergy au athari za wipes? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Mojawapo ya dawa hizo ambayo tayari imejaribiwa katika binadamu ni dawa ya remdesivir - dawa ya virusi vya UKIMWI ambayo bado inafanyiwa utafiti ambayo imejaribiwa dhidi ya magonjwa kama vile...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu nimekuwa nikijiuliza Kama sisi 'watumiaji' wa ARV tunaweza kuathiriwa na maambukizi ya Corona Virus maana naona Kinga Yetu IPO juu Sana.. Nje ya Mada: Je 'tulionyanyapaliwa' hatutamani...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwenza wangu anasumbuliwa na tatizo sugu la homa za mara kwa mara, yaani hamalizi wiki mbili japo siku tatu imemlaza. katika mwezi ni mara 2 au 3. Hili tatizo limekuwa likinitia wasiwasi. Naomba...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Kutokwa na vidonda mdomoni yaani kwenye lips kwa mwanamke hii ni dalili au ni ugonjwa gani? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
3K Views
heshima kwenu jaman. nili m PM mzizi mkavu kuhusu tatizo langu la masikio kuunguruma na akasema nmpe maelezo zaid bt sim yangu kila ni m PM inagoma naomba yeye au mtu yeyote...
2 Reactions
7 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…