Hili la Jino/ meno kubakia hospitalini baada ya kung'oa limekaaje?

Noambeni Dawa ya jino ya asili kama jino lina uma sipendi Kung’oa jino


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
It is supposed to be a hygiene issue. They can dispose the tooth better, supposedly.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Nataka nijue yote kama linabaki hospital mbona waliliweka mwenye chombo la taka? Si bora nilibebe?
 
Hata goviz wanabakigi nazoo etii

Don't make a promise you can't fulfill...
Anaeng'angania kiungo chako cha mwili na yeye nae ni mwanadamu km weww hawezi hata kuumba panzi, sasa kwanini atake kukumiliki viungo vyako pasipo sababu ya msingi?
 
Nataka nijue yote kama linabaki hospital mbona waliliweka mwenye chombo la taka? Si bora nilibebe?
Mkuu ulibele upeleke wapi

Basi na wanaokatwa miguu, wanaoondolewa figo, wamama wanaotolewa kondo lanyuma wapewe waende navyo nyumbani sio!?


Ivo vinakua destroyed(incinerated). ila vile ambavo vinauyofauti(abnormalities). Vinaifadhiwa kwa ajili ya mafunzo (for training purposes) ivo kikubwa uondoke mzima umepona
 
Kuna mpole ndugu mgonjwa.
Jino lako wanataka baadae walitupe juu ya bati kisha wakinena kwa lugha kwamba kunguru akupe jipya
 
Hapa itakuwa ni kwa ajili ya kumbukumbu au Imani potofu,ni vitu viwli tu...
Kumbukumbu IPI wakati waliweka kwenye chombo la taka kwanini nisingewapunguzia taka nirudi nalo?
Ukiacha chupa la maji utakumbushwa uliondoe ni uchafu ila hivo viungo mbona hawaruhusu,.
 
Mimi pia kuna gego langu. Nililiacha magomeni hospital 2016. Huwa linaniuma sana maana nilitaka nibaki nalo kama kumbu kumbu
 
Back
Top Bottom