Jordi alfred
Member
- Oct 24, 2019
- 20
- 5
Habar wanaaa wa jf
Tatizo lililopo ni wakati wa Kubarehe kunakuwa na mabadiliko mengi mojawapo kifua kutokwa na vinundu kwenye chuchu na hiloo lilinipata lakini mbaka sasa bado lipo nlikuwa naombeni msaada njia ipi niifanye ili niondokane na hili jambo?
Maana Sina raha kabisa toka mwezi wa 11 mwak2017
Sent using Jamii Forums mobile app