Mke wangu mjamzito anapata maumivu chini ya kitovu naomba ushauri

erythroccyzed

JF-Expert Member
Jul 13, 2019
350
250
Habari wakuu,

Naomba kuuliza jambo moja la muhimu sana kwangu. Mimi nina mke sasa wakati anajifungua aliongezewa njia mtoto akatoka salama baada ya mda akafariki, sasa saizi ana ujauzito mwingine wa miezi sita.

Analalamika kuwa anahisi maumivu chini ya kitovu hasa sehemu alioshonwa sasa kuna dawa zozote anaweza tumia ilikupunguza hii kadhia au afanye nini ili aondokane na hili tatizo msaada tafadhali.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

erythroccyzed

JF-Expert Member
Jul 13, 2019
350
250
Ok, atleast mtarelax kiasi sasa, nashauri tu mkiona dalili zisizo za kawaida brake ya kwanza iwe hospital aisee, maisha hayana spare haya.

Vipi ulienda naye hospital eeh?, if yes you are such a responsible husband

Good afternoon.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikwel mkuu mimba yakwanza mtoto alifariki baada yakuzaliwa so inanibid niwe makini katik kipind hk kigum kwang
 
Top Bottom