Mtoto kutokwa na vipele sehemu za siri

Mtoto kutokwa na vipele sehemu za siri

da viper

Senior Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
158
Reaction score
43
Habari wadau,

Nauliza suluhisho la mtoto anaetokwa na vipele sehem za siri hasa wakat huu wa joto
Je, ni joto
Allergy au athari za wipes?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joto limezidi, muda mwingine huwa ni allergy inatokea kwa watoto wengi siku hizi hasa mtoto anapotimiza miezi 6 wakati ambao anakula vyakula tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom