Kutokwa na vidonda mdomoni

Huenda ni homa
Vizuri kwenda hospitali ili upate utambuzi humu utachelewa maana hata hakuna anaeviona
 
Maelezo yako hayajitoshelezi, ila unaweza kuanza kwa ku Google ugonjwa unaoitwa HERPES SIMPLEX, angalia vizuri picha zilizopo kwenye Google search results kama ndio ugonjwa wenyewe then Soma kwa umakini maelezo, kama hutajali uje kutoa mrejesho, pole sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom