Mwenza wangu anasumbuliwa na tatizo sugu la homa za mara kwa mara, yani hamalizi wiki mbili japo siku tatu imemlaza. katika mwezi ni mara 2 au 3.
Hili tatizo limekua likinitia wasiwasi
Naomba msaada wakuu
Homa za mara kwa mara inaashiria vitu vingi sana.. Tuambie hiyo homa inafatiwa nanini? Mfano kuharisha, kutapika, kukohoa, vipele etc
Kiujumla ukiona homa ujue kinga ya mwili imeshuka, na inashuka kwa sababu nyingi
Muhimu azidi kula vizuri(maziwa, matunda, mbogamboga, samaki, maji kwa wingi etc) na kufanya mazoezi ili kuimarisha kinga yake ya mwili
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenza wangu anasumbuliwa na tatizo sugu la homa za mara kwa mara, yaani hamalizi wiki mbili japo siku tatu imemlaza. katika mwezi ni mara 2 au 3.
Hili tatizo limekuwa likinitia wasiwasi. Naomba msaada wakuu
Kama ni mjamzito kapate ushauri wa dakitari, lakini pia kapime afya kujua shida ni ipi zaidi.Mwenza wangu anasumbuliwa na tatizo sugu la homa za mara kwa mara, yaani hamalizi wiki mbili japo siku tatu imemlaza. katika mwezi ni mara 2 au 3.
Hili tatizo limekuwa likinitia wasiwasi. Naomba msaada wakuu