msaada mzizi mkavu

msaada mzizi mkavu

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,602
Reaction score
14,398
heshima kwenu jaman. nili m PM mzizi mkavu kuhusu tatizo langu la masikio kuunguruma na akasema nmpe maelezo zaid bt sim yangu kila ni m PM inagoma naomba yeye au mtu yeyote mwenye namba ya sim ya mzizi mkavu ani PM
 
Mkuu mvuv usipate Tabu ya kumtafuta namba ya simu ya Mzizimkavu nipo hapa mie au pia kam sipo waweza kunitumia Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com Kama nilivyokueleza ninataka Maelezo zaidi toka kwako kuhusu huko

kuunguruma kwa masikio yako naingelifaa uende kwa Daktari akupime na kujuwa una matatizo gani? Nenda Hospitali Kuu ya Muhimbili au Hospitali ya Ag Khan unaweza kupata wataalam wakakupima na kujuwa una matatizo gani kwenye masiko yako kiha uje au

unitumia Email kunipa Feedback nitajaribu kwa upeo wa Elimu yangu kufafanuwa matatizo yako kwa lugha ya kiingereza soma hapa chini Kama kiingerza kinapanda soma hapa chini:

What is Tinnitus?

Tinnitus is the disorder that causes various types of noises in the ear. It is a symptom of an underlying condition, such as age-related hearing loss, ear injury or a circulatory system disorder. A common ailment, tinnitus gets better by treating the underlying cause, when identified. A person suffering from tinnitus hears various types of sound in his ear, consistently or alternatively. Basically, there are two types of tinnitus - objective and subjective. While in former, people around the affected person also hear the tingling sound, the latter has only the patient experiencing a buzzing sound, all alone. In the following lines, we have listed the causes and symptoms of tinnitus.

Causes Of Tinnitus

  • Inner ear cell damage
  • Ear problems
  • Chronic health conditions
  • Injuries or conditions affecting auditory nerves or the hearing center in brain
  • Age-related hearing loss
  • Exposure to loud noise
  • Earwax blockage
  • Changes in ear bones
  • Meniere's disease, an inner ear disorder
  • Stress and depression
  • Head injuries or neck injuries
  • Acoustic neuroma, a noncancerous (benign) tumor
  • Head and neck tumors
  • Atherosclerosis
  • High blood pressure
  • Turbulent blood flow
  • Malformation of capillaries
  • Certain medications
Symptoms Of Tinnitus

  • Ringing sound
  • Buzzing sound
  • Roaring sound
  • Clicking sound
  • Whistling sound
  • Hissing sound

Home Remedy for Tinnitus

Tinnitus is a buzzing sound that can be heard in one or both of the ears. The sound may either be consistent or come and go at varied intervals. There are basically two types of tinnitus - objective and subjective. In case of objective tinnitus, not only will the affected person hear a buzzing sound, but those around him would also hear the sound coming from his ears. On the other hand, subjective tinnitus patients will experience the buzzing sound all alone. Damage in the ears, age and presence of any waxy particles inside the ear are some of the reasons of tinnitus. The most common symptoms of the ailment include hissing or buzzing sound inside the ears. These sounds coincide with the heartbeats of the patient. As a result of tinnitus, apart from losing on sleep, the affected person also fails to concentrate on work. In the following lines, we have provided some of the home remedies for treating tinnitus.

Home Remedy For Tinnitus

  • An effective home remedy for tinnitus would be to put 20-40 mg of Maidenhair tree extract inside the ears.
  • For people who suffer from tinnitus because of loud noise, the best option would be to wear ear plugs.
  • When suffering from tinnitus, it is advisable to avoid saturated fats, processed foods, sugar and salts.
  • Coffee, tea, sweet foods and refined alcohol, all add to the tinnitus problem. It is advisable to avoid these foods and beverages.
  • Include lots of fruits and vegetables, garlic, kelp and sea vegetables in your diet. Have food rich in protein, vitamin A, vitamin B, vitamin E, zinc and choline.
  • Mix a tsp each of salt and glycerin in a pint of warm water. Use this liquid as a nasal spray, spraying it in each nostril until the solution drains to the throat.
  • Exercising regularly is a good way to tackle tinnitus problem.
  • Wearing earplugs is a good way to cure tinnitus at home. The earplugs can be of any variety, such as rubber, foam or moldable wax ones.
  • Have lots of fresh pineapple, as it reduces the inflammation in your ear, thereby curing tinnitus.
  • Chewing dry fruits helps enhance the blood circulation, thereby acting beneficially in solving tinnitus.
  • Taking hot and cold foot baths, alternatively, proves effective in treating tinnitus.
 
Last edited by a moderator:
Kweli elimu nzuri hii, nami nasumbuka wakati mwingine, nilidhani sababu nilikishavuka watani wa MTz kuishi, anyway nitakutafuta.

Ila sasa.. manake sikuhizi vijana machachari kwekweli, masikio yanasokomewa ulimi, yananyonywa etc! Sasa kiongozi hiyo nayo haiwezi kuchangia ubovu?
 
Mkuu Hayajamani masikio yanasokomewa ulimi, yananyonywa etc! kwa hali hiyo haiwezi kusababishwa masiko yako Kuunguruma. Kuunguruma kwa masikio kama nilivyo eleza hapo juu kwa kirefu kuna

sababu nyingi tu itabidi kama una matatizo ya kuunguruma kwa masikio itabidi uende Hospitali kupimwa na Daktari mtaalamu wa Maradhi ya Masikio ndio atajuwa ni kitu gani kiancho sababisha masikio yako kuunguruma atakupa dawa au ushauri zaidi ikishindi kana njoo hapa utupe Feedback na sisi tutoe ushauri wetu.
 
Mkuu mvuv usipate Tabu ya kumtafuta namba ya simu ya Mzizimkavu nipo hapa mie au pia kam sipo waweza kunitumia Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com Kama nilivyokueleza ninataka Maelezo zaidi toka kwako kuhusu huko

kuunguruma kwa masikio yako naingelifaa uende kwa Daktari akupime na kujuwa una matatizo gani? Nenda Hospitali Kuu ya Muhimbili au Hospitali ya Ag Khan unaweza kupata wataalam wakakupima na kujuwa una matatizo gani kwenye masiko yako kiha uje au

unitumia Email kunipa Feedback nitajaribu kwa upeo wa Elimu yangu kufafanuwa matatizo yako kwa lugha ya kiingereza soma hapa chini Kama kiingerza kinapanda soma hapa chini:

What is Tinnitus?

Tinnitus is the disorder that causes various types of noises in the ear. It is a symptom of an underlying condition, such as age-related hearing loss, ear injury or a circulatory system disorder. A common ailment, tinnitus gets better by treating the underlying cause, when identified. A person suffering from tinnitus hears various types of sound in his ear, consistently or alternatively. Basically, there are two types of tinnitus - objective and subjective. While in former, people around the affected person also hear the tingling sound, the latter has only the patient experiencing a buzzing sound, all alone. In the following lines, we have listed the causes and symptoms of tinnitus.

Causes Of Tinnitus

  • Inner ear cell damage
  • Ear problems
  • Chronic health conditions
  • Injuries or conditions affecting auditory nerves or the hearing center in brain
  • Age-related hearing loss
  • Exposure to loud noise
  • Earwax blockage
  • Changes in ear bones
  • Meniere's disease, an inner ear disorder
  • Stress and depression
  • Head injuries or neck injuries
  • Acoustic neuroma, a noncancerous (benign) tumor
  • Head and neck tumors
  • Atherosclerosis
  • High blood pressure
  • Turbulent blood flow
  • Malformation of capillaries
  • Certain medications
Symptoms Of Tinnitus

  • Ringing sound
  • Buzzing sound
  • Roaring sound
  • Clicking sound
  • Whistling sound
  • Hissing sound

Home Remedy for Tinnitus

Tinnitus is a buzzing sound that can be heard in one or both of the ears. The sound may either be consistent or come and go at varied intervals. There are basically two types of tinnitus - objective and subjective. In case of objective tinnitus, not only will the affected person hear a buzzing sound, but those around him would also hear the sound coming from his ears. On the other hand, subjective tinnitus patients will experience the buzzing sound all alone. Damage in the ears, age and presence of any waxy particles inside the ear are some of the reasons of tinnitus. The most common symptoms of the ailment include hissing or buzzing sound inside the ears. These sounds coincide with the heartbeats of the patient. As a result of tinnitus, apart from losing on sleep, the affected person also fails to concentrate on work. In the following lines, we have provided some of the home remedies for treating tinnitus.

Home Remedy For Tinnitus

  • An effective home remedy for tinnitus would be to put 20-40 mg of Maidenhair tree extract inside the ears.
  • For people who suffer from tinnitus because of loud noise, the best option would be to wear ear plugs.
  • When suffering from tinnitus, it is advisable to avoid saturated fats, processed foods, sugar and salts.
  • Coffee, tea, sweet foods and refined alcohol, all add to the tinnitus problem. It is advisable to avoid these foods and beverages.
  • Include lots of fruits and vegetables, garlic, kelp and sea vegetables in your diet. Have food rich in protein, vitamin A, vitamin B, vitamin E, zinc and choline.
  • Mix a tsp each of salt and glycerin in a pint of warm water. Use this liquid as a nasal spray, spraying it in each nostril until the solution drains to the throat.
  • Exercising regularly is a good way to tackle tinnitus problem.
  • Wearing earplugs is a good way to cure tinnitus at home. The earplugs can be of any variety, such as rubber, foam or moldable wax ones.
  • Have lots of fresh pineapple, as it reduces the inflammation in your ear, thereby curing tinnitus.
  • Chewing dry fruits helps enhance the blood circulation, thereby acting beneficially in solving tinnitus.
  • Taking hot and cold foot baths, alternatively, proves effective in treating tinnitus.

miriam 111
 
Mkuu Hayajamani masikio yanasokomewa ulimi, yananyonywa etc!kwa hali hiyo haiwezi kusababishwa masiko yako Kuunguruma. Kuunguruma kwa masikio kama nilivyo eleza hapo juu kwa kirefu kuna

sababu nyingi tu itabidi kama una matatizo ya kuunguruma kwa masikio itabidi uende Hospitali kupimwa na Daktari mtaalamu wa Maradhi ya Masikio ndio atajuwa ni kitu gani kiancho sababisha masikio yako kuunguruma atakupa dawa au ushauri zaidi ikishindi kana njoo hapa utupe Feedback na sisi tutoe ushauri wetu.

Mkuu mzizi mkavu mimi nnatatizo lakuhisi km kitu kimenivaa kichwani km kofia haiumi ila inakera

Sent by iOS
 
Hebu jaribu kujifukiza maganda ya vitunguu saumu pamoja na mvuje na majani makavu ya kivumbasi changanya pamoja kisha weka katika moto mkali hizo dawa halafu tafuta shuka unayo lalia jifunike na mdomo wako uwe wazi moshi ukupate mdomoni fanya hivyo asubuhi na jioni kila siku kwa muda wa siku 3 au siku 7 huenda ukapona. Ninahisi kama una pepo mchafu ndio anaye kusumbuwa na kukuvaa kichwai mwako kuna kipindi ana kuvaa kichwani na kuna kipindi anakuwa hayupo pamoja na wewe jaribu hiyo njia niliyo kupa kisha uje unipe mrejesho wako hapa .au uni inbox.
 
Back
Top Bottom