Jamani wale wenye uzoefu mnielekeze nifanye ili mke wangu ajifungue salama pasipo kumpa maambukizo mtoto aliyeko tumboni wakati wa kujifungua?
UPDATE
Mrejesho mke wangu mwenye HIV + amejifungua...
Alcohol gel au sanitizer ni kimiminika chenye pombe chenye uwezo wa kuua bacteria na pathogens ambao wangeweza kuleta madhara mwilini.
Ni rahisi kuibebea na unaweza kuitumia mahali popote...
habarini wana jamii forum,
ngoja niende moja kwa moja kwenye mada husika,I kiwa leo hii mtu ataulizwa ni ugonjwa gani unaoua waafrika wengi basi jibu la haraka haraka utaambiwa ni...
Siku hizi vijana wengi wana tatizo la mgongo kupinda kwajuu kidogo ya shingo (kibyongo) nini tatizo? na nini kifanyike ili kuondoa tatizo?
Nina jamaa yangu mmoja mrefu yeye mgongo umepinda...
Mwanangu anatokwa na vipele vidogo vidogo mwili mzima.
Vinamuwasha sana.
Nahisi kuna kitu anakula ambacho kinampa allergies.
Msaada wa hospitali nimpeleke tukajue tatizo
Sent using Jamii...
Habari wandugu,
Nina mtoto wa miaka minne juzi alipotoka shule alipata chakula cha mchana then akalala, alipoamka akawa analalamika kichwa na tumbo vinamuuma.
Nilimpa Panadol then tukalala sasa...
Maybe I need to reintroduce myself with this absolutely gorgeous photo of us!
Majority of you have seen our two pretty girls and now son!
So I will just introduce you to us and not the kids per...
Ukiumwa na maradhi ya kichwa katikati ya utosi ni dalili inayo onyesha kuwa unahtaji unywe maji ya kutosha na chakula. Chenye afya.
Ukiumwa na kichwa kwa mbele inaonyesha unahitaji upate usingizi...
Habari wataalam!
Naomba kufahamu tatizo ambalo nimeliona kwa watoto wangu wakiwa wachanga.
Mtoto huwa analia sana hasa usiku akionesha tumbo kufinyafinya.
Sasa watu wanasema ni chango!
Je...
Kadri hatari ya Corona inavyozidi kuongezeka inatubidi kutafuta kila taarifa za kitaalamu kujua namna sahihi tunavyoweza kujikinga
Binafsi kuanzia siku ya leo nimeshuhudia watu wameanza kutumia...
Habar za jion wakuu nmekumbwa na tatzo LA kutoka vijipu kwenye makalio yangu hadi inafikia wakati nikiendesha baiskel au nikikaa kW muda mrefu napata maumivu nifanye nn?
Kwa wale wasiyo jua hali zao za lishe, nimejitolea kukupa ufafanuzi wa hali yako ya lishe kwa kutumia Uzito na Urefu wako. Niambie Uzito wako (Kg) na Urefu wako kwenye (Metre); Ukifanya hivyo ni...
Hellow
Nimeona huko watu wanafarijiana ohh kama wewe ni HIV + na unatumia ARV basi hupati corona
Yani tufatishe vile tunaelekezwa na wizara ya afya
Kuna wenye HIV na wanameza ARV na bado kinga...
sALAAM,
Ukiangalia miongoni mwa njia za kujikinga dhidi ya corona virus ipo njia ya kusimama mita moja ili kuongea (Maana Inatakiwa kila mmoja ajione ameshaambukizwa).
Kwa msingi huo: Tunaweza...
Kuna tatizo nililipata na kuligundua jana, baada ya kuona vipele vidogo kuzunguka kichwa cha umme; vikiwa havina usaha wala muwasho au maumivu.
Sababu kuu iliyopelekea hivi nahisi ni jambo...
MUHIMU KUHUSU COVID-19 (CORONA)
Najaribu tafakari mengi juu ya hili janga la kitaifa ili hali tu wakuu wa vitengo hawjalitamka kwamba ni la kitaifa anyway tujaribu changanua baadhi ya mambo hapa...
Kemikali zenye madhara zilizo kwenye sigara
Ufutaji sigara huathiri mwili kwa njia tofauti na madhara yake ni makubwa kiafya. Inakadiriwa kuwa, hadi sasa kumegunduliwa kemikali zipatazo 7,000...
Wadau naomba msaada nafwa mwenzenu
kwenye uume kunatoka usaha mzito km utomvu ila sometimes dudu linawasha ila ninachoshangaa uchafu huu hutoka pale tuu ninapojimwagia maji ya baridiii wakati wa...
Jamani nina shida mtoto wangu anatumbo kubwa kiasi kupita kawaida lakini nimejaribu kuchunguza nimeona sio wa kwangu tu hata watoto wa jirani. Je, ni ugonjwa gani na tiba yake ni nini.
Nawasilisha