Amepimwa na kuambiwa testes yake ya upande wa kulia ina maji dawa ni ipi?

Ongeza maelezo kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
yaan kuna jamaa yangu amepimwa na kuambiwa testes yake ya upande wa kulia ina maji hivyo imepelekea ashindwe kusimamisha uume balabala na akose kabs hamu ya kushirikiana.
IMG-20200328-WA0041.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
anasema mtu aliyempima hajampa ushauri wowote zaidi ya kumwambia ngoja amtafutie doctor anayeweza kulitibu tatizo hilo ila anaona muda unaenda na bado hajapatiwa msaada wowote.

Sent using Jamii Forums mobile app
We sema ni wewe . Kwani Dr aliyeagiza ukafanye kipimo hukurudi kumuona akusomee majibu na ushauri wa kufuata ?!.
Kwa sababu aliyekupima hawezi kukueleza chochote mpaka Dr aliyeagiza hicho kipimo. So rudi kwa daktari

Odhis *
 
Back
Top Bottom