Je hili ni tatizo kwa mwanangu?

Je hili ni tatizo kwa mwanangu?

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,651
Reaction score
4,758
Mwanangu mwenye umri wa miezi 9 anakojoa mkojo wa njano kiasi kwamba anaweka rangi ya njano iliyofifia kwenye bukta nyeupe anayovaa...

Na mkojo wenyewe watoa harufu kali sana ya mkojo...!

Je, kuna tatizo kweli hapo...? Na kama lipo...ni lipi tatizo hilo...?

Na tunalitatuaje naombeni mawazo yenu...
 
Dogo anywe maji ya kutosha.
Pia kuna maelezo kuwa kuzidi kwa vitamin B japo hii haina madhara.

Tusubiri wajuzi zaidi wa mambo haya
 
we ndo mpumbavu tahira kabisa badala ya kumpeleka hospital unakuja kufungua uzi hapa.huyo mtoto wako ni heri angekosa baba tu ilibidi aambiwe baba ako alikataa mimba

Hittin Blunts and Bustin Nuts
 
Back
Top Bottom