#COVID19 Jilinde wewe na Jamii yako kwa kusambaza taarifa za Uzushi kuhusu #COVID19

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
Taarifa za uzushi zinaweza kuchangia kwa kiasi kikubwa kuenea kwa maambukizi kwasababu jamii inaweza kuwa imepotoshwa kuhusu njia za kujikinga

Kuongeza taharuki na sintofahamu katika jamii. Hofu itakayotengenezwa na taharuki hiyo inaweza kuondoa utulivu wa watu

Madhara katika afya za watu. Baadhi ya taarifa zinahusisha watu kutumia dawa mbalimbali ambazo zinaweza kuleta madhara kwa afya.

Uzushi unachangia kuongeza vikwazo katika jitihada za kupambana na maambukizi ya #CoronaVirus

Watu wenye uhitaji wa msaada kuhusu #COVID19 wanaweza kukosa msaada kutokana na taarifa za uongo zilizowafikia

Jamii Forums inakuhimiza kuepuka kutunga au kusambaza taarifa ambayo huna uhakika nayo au haijatoka kwenye vyanzo vya kuaminika

=======


 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom