Wakuu habari zenu poleni na majukumu.
Nina tatizo kidogo nahitaji msaada wenu, mimi nina tatizo la mafua la mara kwa mara lakini hii ya kipindi hii imenishika kweli na kama siku ya tatu hivi...
Nimejaa na wasiwasi wakuu,
Jana jioni nilianza kama dalili za mafua leo asubuhi nimeamka na homa kabisa, ila mafua yapo kwa mbaali. moyo umetanda hofu kwa kweli
Wakuu nataka kujua ni hospitali gani na daktari gani hapa Tanzania ni bingwa kwa upasuaji wa kukuza uume? Naomba msaada tafadhali.
Nimekunywa vidonge na nimetumia dawa za kupaka lakini uume bado...
Habarini wakuu na poleni na shughuli za kila siku za kupambana na maisha na hasa katika hili la Covid19, kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu nina mdogo wangu mwenye umri wa miaka 24...
Wakuu habari,
Mnamo mwaka 2016 April, nilianza kusumbuliwa na tatizo la muwasho katika korodani zangu.
Niliona ni jambo la kawaida but nikaona linadumu mwezi mzima, ikanibidi niende Hospital...
Yajuwe maradhi ya ini na dalili zake
JE! UNAJUWA KUWA:-
Ini ni katika viungo muhimu sana katika mmeng'enyo wa chakula mwilini. Ini husaidia kuondosha sumu za vyakula na katika utunzaji wa...
Wakuu mwanangu alipata ajali ya kuungua moto Kwa asilimia 75. Mungu mkubwa madakitari Wa hospitali ya jeshi Lugalopamoja na wale wa hospitali ya Taifa MUHIMBILI (heshema na shukrani zangu...
Habari zenu wakubwa, ni hospitali gani nzuri ya kufanyia internship hapa nchini, hospital ambayo utakua exposed to various cases and practices.
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikiwa leo ni Siku ya ufahamu kuhusu usonji duniani tutizame kwa uchache kuhusu suala hili
Usonji au tawahudi kwa kiingereza autism ni tatizo la nafsi na hisia linalowatokea watu angali watoto...
Wasalaam, Wana JF.
Nina kijana wangu tangu juzi analalamika, akienda msalani anapata choo kigumu na anakipata kwa maumivu makali sana,
Nini hasa inaweza kuwa sababu?
Na tiba yake ni ipi...
1. Ni kawaida kuhisi huzuni, kupata mawazo, kuchanganyikiwa, kuogopa au kuwa na hasira wakati wa matatizo. Ongea na watu unaoamini watakusaidia. Wasiliana na familia yako au marafiki
2. Kama ni...
Inaweza ikatokea mahali popote iwe njiani au nyumbani iwe mchana au hata usiku.
Huduma ya kwanza hasa ya kujihudumia mwenyewe ni nini hasa unapokuwa huna nyenzo za kitabibu?
Sent using Jamii...
MATATIZO YA CHOO KIDOGO NA VIJIWE KATIKA FIGO
Figo ni kiungo muhimu katika uchujaji wa Damu na kuondoa sumu na uchafu mwingine na kuutoa nje kupitia mkojo. Kiungo hiki kinakabiliwa na hatari...
Wana habarini za mihangaiko ya maisha!
Tumshukuru Mungu kwa pamoja kutukirimia afya na uzima.
Niende kwenye mada moja kwa moja.
Ktk michezo michafu yenye kuleta dharau na yenye machukizo mbele...
Naomba mnisaidie kujua aina tofauti tofauti za mazoezi yatakayoniwezesha kuwa na pumzi kwa maana nikifanya zoezi dogo tu naishiwa pumzi.
Ndugu wanajamii naomba msaada wenu tafadhali.
Nchi zilizoendelea zinafunga mipaka yake eg USA ili kupunguza ama kuzuia maambukizi ya virusi vya korona but Nchi za Kiafrika ambazo ni masikini zinasema zime jipanga kupambana na Corona...
Salaam Doctors, na wana JF.
Niende kwenye tatizo.
Mnamo tarehe 31/12/2019 nikiwa kwenye kikao cha management chenye idadi ya watu sita pamoja na Mimi, kikao ambacho huwa kinakuwepo kila siku...
Nina mdogo wangu umri 17 mdomo wake uliaza kukauka na kuuma nyakati za asubuhi sasa kadri Siku zinasongea hali inazidi kuwa mbaya mdomo una kauka sana hadi kuna dalili ya vidonda sasa naombeni...
Nina rafiki yangu ashawahi kumwagikiwa na maji ya moto kichwani yaliyo chemka na kutokota, kwa sasa ana hali Kama ya kusahau vitu, nilitaka kujua madhara ya ndani ya uongo kutokana na kumwagikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.