X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,721
- 14,852
Habarini, ndugu zangu.
Mnamo mwaka 2014 nilifanyiwa opperation ya Appendix, kidonda kilipona haraka haraka pasipo kupata maumivu yoyote,
Tokea mwaka huo 2014 hadi sasa ni miaka 3 sasa,
Ila chaajabu tokea mvua izi zianze kunyesha juzi napatwa na maumivu pale kwenye kovu la kidonda cha appendex...mara ya kwanza maumivu yalidumu kwa muda wa masaa 2 kisha yakapotea usiku wa kuamkia leo sijalala kabisa maumivu hapo kwenye kovu la kidonda cha apendex yamenianza tokea saa 6 usiku hadi kuna kucha, sijapata usingizi, naombeni ushauri wenu kwani miaka ya nyuma baada ya operation nilikuwa sipati maumivu ata nikiloana kwenye mvua...hii hali imenitisha sana