Habar drs. Niliugua malaria ktkt ya mwezi huu wa tatu 2018. Nkatibiwa na dawa ziitwazo malafin. Baada ya sku moja nkaanza kuhisi kizunguzungu na kuishiwa nguvu..pia kifua kuuma na kukohoa usku...
Jamani naomba msaada kwa anayeweza kutambua hili tatizo,naona kucha yangu inabadilika kila kukicha
Na nikishika maji ndo kabisa inauma sana
Naomba msaada nifanyaje au nitumie dawa gani na Hilo ni...
Naomba kuuliza hivi Wazungu nao wanaathirika kwa UKIMWI? Maana huwasisikii habari zao kuwa wanaugua, na kama wanaugua mbona habari zao hazisikiki kama huku kwetu AFRICA.
Au wao wanapewa CHANJO...
Nazi ikiliwa na binadamu hugeuza aina hizo za mafuta kuwa tindikali ambayo kitaalamu huitwa medium chain fatty acids au kwa kifupi (MCFAs) ambazo huua na kutokomeza
virusi vya aina mbalimbali...
Kifua na mgongo vinakuwa kama vimetiwa pili pili niliwah kucheck H paylol kipimo kilikuw positive nikapewa heligo kit box mbil na lecer gelly dose zimeisha lakin sina uhafadhali na nina mawazo ya...
Je uume wangu una urefu sahihi??
Ni swali ambalo kila mwanaume hujiuliza, ili kujiridhisha na kuwa mwenye kujiamini pale anapokutana na mwanamke
Yafuatayo ni majibu kwa maswali yote kuhusu uuume...
Nilikuwa nikisumbuliwa muda mrefu na kero ya upele wa ndevu baada ya kunyoa kiasi cha kutamani kutokuwa na ndevu, nilitumia aftershave nyingi ila hazikuwahi kunipa matokeo mazuri, nilishauriwa...
Kwa mwenye kufahamu, naomba aniunganishe na gynecologist (daktari wa magonjwa ya mfumo wa uzazi wa mwanamke).
Nitashukuru kupata mawasiliano yake na kujua ofisi yake ilipo.
Nusu ya wanawake wote wajawazito hupatwa na tatizo la kujisikia kichefu chefu na kutapika; ni mojawapo ya dalili kuu za ujauzito.
Husababishwa na kuongezeka kwa hormone mwilini, mara nyingi...
Habari zenu wataalam mbalimbali wa kundi hili la Jf.
Ninaomba msaada wa kushauriwa. Nina mtoto wa miezi 5. Tokea azaliwe hajawah kula chochote zaidi ya maziwa ya mama, na lengo langu hadi atimize...
Mtoto mchanga chini ya miezi sita hapaswi kupewa chochote kile tofauti na maziwa ya mama, mtoto mchanga chini ya miezi sita hatakiwi kupewa maji, kwasababu maziwa ya mama yana maji yakutosha ndio...
Habari: Wahenga wanasema mficha maradhi kifo humuumbua, hivyo sina budi kuweka wazi tatizo linalonisumbua kwa muda mrefu.
Nimekuwa nachanika mwili mithili ya mtu alonichana na kiwembe kwa ncha ya...
Salaam wakuu,
Ninaomba kwa anayejua anijuze nini sababu ya uke kutoa povu (maji yanayofanana na povu) wakati wa tendo la ndoa. Hali hii inatokea kiasi kwamba uume ukitoka ndani unakuwa...
Wakuu kwa dalili nilizo zisikia na kuzisoma kwenye mitandao najihisi kwa sababu zifwatazo....
Kama wiki 2 zilizopita nilitokea moshi mjini nilipanda noah za kuelekea tarakea (sitataja nilipo...
Msaada wakuu kuhusu huu ugonjwa wa Gastroesophageal Reflux Disease (GERD)
Napokea na ushauri pia Mana kwa historia fupi ni kuwa nilienda hospital nikaambiwa nina gastritis nimepitia mtandaoni...
Jf docta
Naomba kuuliza kama kuna madhara yoyote makubwa kwa kunywa mwarobaini.
Nimejizoesha kwa muda mrefu nikihisi au nikipima na kukutwa na malaria huwa nachemsha mwarobaini najifkiza kisha...
Habari wakuu.
Nimekuja jukwaani hapa kutafuta msaada kwa anayejua dawa ya kumaliza tatizo hili, iwe ya miti shamba, ya kizungu au diet nahitaji uzoefu wenu.
Nina ndugu yangu ana tatizo la...