Wakuu nimekuwa nikisumbuliwa na typhoid kwa muda mrefu.Natumiaga dawa aina ya Ciprofloxciline siponi.Je kuna sindano za typhoide?Msaada please
Wakuu nimekuwa nikisumbuliwa na typhoid kwa muda mrefu.Natumiaga dawa aina ya Ciprofloxciline siponi.Je kuna sindano za typhoide?Msaada please
Wakuu nimekuwa nikisumbuliwa na typhoid kwa muda mrefu.Natumiaga dawa aina ya Ciprofloxciline siponi.
Je kuna sindano za typhoide?
Msaada please.
mkuu kama nakuelewa hivi, sasa hizo antibody zinamalizwaje!? Mimi pia nimechoka na dawa za typhoid!
hazi wezi kuisha...mwlini zna kuwepo kwa mda mrefu na karbu kila mkoa una range zake hii ni ku maanisha kuwa nu ngumu sana kumkosa mtu na typhod na maanisha lazma kwenye widal test kuwe na aggulitination(chenga chenga) hivyo basi ushauri wangu kwako hzo antibody azna madhara ila jtahidi uwe unakwenda kwenye hospital kubwa kubwa ili kuepuka matumizi ya antbiotic yasiyo ya lazma kutokana na false+ve ya typhod...pia mtu akipata ajali Hb yake ikiwa low hizo flagella antbody za salmonela huwa zinakuwa juu..!!
ushauri wangu kwako jitahdi kutumia dawa ya typhoid kila baada ya miezi 3-6 hii ndo mbinu sahii yaku pambana na typhoid swala la antbody&antgen reaction ilo achana nalo liko common ali wezi hepukika...pia jitahidi kuwa una pima typhoid fever kwa kufanyiwa culture au master titration.
Kumeza dawa bila uthibitisho wa vipimo hatu shauri.Definition unaitwa usaidie maelezo.
Je kama najisikia dalili za malaria nikanunua Metakeflin nikameza bila kwenda kupima nitakua nimetenda dhambi sana?
Ukizingatia mahospital yote hapa Dar sasa hivi yako busy na Covid-19
Ugonjwa gani mkuu? Typhoid?definition,
Je, ukiwa katika stage hii unaweza kuambukiza wengine,,!?
Ndio,, khs typhod
Mimi ndo kawaida yangu,nikisikia homa paracetamol,,,kesho yake nikiona imekaza nafuata metakeflin,,napona,Definition unaitwa usaidie maelezo.
Je kama najisikia dalili za malaria nikanunua Metakeflin nikameza bila kwenda kupima nitakua nimetenda dhambi sana?
Ukizingatia mahospital yote hapa Dar sasa hivi yako busy na Covid-19