flintsky
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 654
- 744
Jf docta
Naomba kuuliza kama kuna madhara yoyote makubwa kwa kunywa mwarobaini.
Nimejizoesha kwa muda mrefu nikihisi au nikipima na kukutwa na malaria huwa nachemsha mwarobaini najifkiza kisha nakunywa na nimekuwa napata matokeo bora kuliko dawa za hospitali ambazo zimenishinda siku hizi kuzitumia sababu zinaniletea madhara baada ya mchache.
Hivyo nilitaka kujua kama mwarobaini una madhara kwa baadae ingawa inanisaidia sana na wakati mwingine nakunywa shubiri napona