screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,927
- 15,984
Nilikuwa nikisumbuliwa muda mrefu na kero ya upele wa ndevu baada ya kunyoa kiasi cha kutamani kutokuwa na ndevu, nilitumia aftershave nyingi ila hazikuwahi kunipa matokeo mazuri, nilishauriwa ndimu/limao lakini pia hazikunisaidia.
Ila kuna jamaa yangu mmoja naye alikuwa na tatizo kama langu niliona ana mabadiliko, nikamuuliza nini siri ya mafanikio akanijibu asprin, alijaribu kuitumia baada ya kujaribu kutafuta soln mbalimbali U-Tube. Na mimi nikashawishika kujaribu kwakweli haikuniangusha, sahivi kidevu softiii...sijui kwa wengine, ila binafsi imenisaidia sana.
Kwa ambao wanataka kujaribu, chukua vidonge viwili (atleast) weka kwenye chombo chochote, mimina maji kidogo then saga, ukimaliza kusaga paka sehemu ulizonyoa (ni vizuri ukifanya wakati unataka kulala ili dawa uje uinawe asubuhi unaponawa uso).
View attachment 1428313
Sent using Jamii Forums mobile app