Hili ni tatizo gani?

kibonge90

Member
Sep 6, 2015
53
39
Jamani naomba msaada kwa anayeweza kutambua hili tatizo,naona kucha yangu inabadilika kila kukicha

Na nikishika maji ndo kabisa inauma sana
Naomba msaada nifanyaje au nitumie dawa gani na Hilo ni tatizo gani
IMG-20200425-WA0006.jpg
IMG-20200425-WA0005.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom