Nahisi nina corona

MR Kilimanjaro

JF-Expert Member
May 5, 2019
249
355
Wakuu kwa dalili nilizo zisikia na kuzisoma kwenye mitandao najihisi kwa sababu zifwatazo....

Kama wiki 2 zilizopita nilitokea moshi mjini nilipanda noah za kuelekea tarakea (sitataja nilipo shukia) nilipokua kwenye kigari hicho nilikaa na mama mwenye umri kama 30 had 50 akawa ana kohoa na mafua kidogo hakutumia njia za kujikinga na kukinga wenzie alifanya hivyo kwa mara kadhaa bila kujiziba yani kama yupo geto kwake.

Nikamwambia nama jieshim unajua kuna ugonjwa mkuu ziba wakati una kohoa na chafya pia kweli mama alifanya hivyo kwa kukinga na mtandio wake ila sasa nikawa najiuliza kama ndio alikua na huo ugonjwa na mimi si tayari nisha urithi kwa huyo mama? .

Sasa toka juzi najiona nina kikohozi kikavu kweli pia koo linawasha na masikio pia na mafua kwa mida ya usiku pia wakati wa mafua nakifuta hewa kwa pua wakati zimeziba kwa mafua mapafu hua yanauma sana.

Joto lipo kawaida sina tatizo la joto.

Kichwa huwa kina uma kwa muda kisha kinaacha chenyewe na sina tabia ya kuumwa kichwa bilasababu za msingi.

Pia kabla ya corona kujulikana nilisha ugua kikohozi na mafua TU nikatumia amox nikarudi kawaida .

Sasa wakubwa? Hizi dalili vipi?

Naumwa kikohoz na koo kuwasha,mafua, kichwa kuuma bila sababu za msingi, mapafu kuuma .

Sina dalili nyingine na kazi nafanya kawaida pia sikufanya kazi zenye madhara kiafya .

Naombeni ushauri nifanyeje?

Qn
 
Mkuu wahi hospitali. Usiogope. Hata kama ni corona, ukipata tiba mapema uwezekano wa kupona ni mkubwa. Usisubiri uzidiwe itakua hatari sana kwako.
Sawa mkuu ika nitapimwa huu ugonjwa? Na hospitali zote wana oima hii kitu?

Qn
 
Natamani sana kupima ila vipimo cipo wapi? kama sio huu ugonjwa amna noma ila ni bora nikapime UKIMWI kuliko hiki kisanga
Nenda kapima,ukiwa huna ulete mrejesho,endapo ikitokea umekutwa nao,ulete pia mrejesho,hasa ukipona,ikitokea umekufa kwa huo ugonjwa,R.I.P,dunia ni mapito.

Qn
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom