Naomba ushauri wa lishe kwa mtoto

Nov 18, 2018
26
5
Habari zenu wataalam mbalimbali wa kundi hili la Jf.

Ninaomba msaada wa kushauriwa. Nina mtoto wa miezi 5. Tokea azaliwe hajawah kula chochote zaidi ya maziwa ya mama, na lengo langu hadi atimize miezi 6 kama inavyoshauriwa. Hadi sasa nimeshindwa kusubiri mwezi wa sita kwa kuwa maziwa ya mama hayamtoshi kwa sasa na lengo langu nimwanzishie chakula cha ziada. Najua humu ndani wapo wataalam wa lishe kwa watoto(binadamu. nilipanga kununua chakula cha watoto kiitwacho “cerelac”(serelaki) sielewi kama nimepatia kuandika. Je nauliza nikiendelea na kusudio la kununua hicho chakula kitamsaidia mtoto, au kuna lishe nyingine bora zaidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Valentino
Kama maziwa ya mama hayatoshi sio salama kuendelea kumuweka katika maziwa ya mama tu. Inaweza kumletea mtoto shida kiafya. miezi mitano sio mbaya, mnaweza kumuweka katika mpangilio maalumu wa chakula utakao hakikisha anapata virutubisho vingine vya muhimu huku akiendelea taratibu na maziwa ya mama. Kikubwa epuka maziwa ya ng'ombe, ni mabaya kwa mtoto wa chini ya mwaka mmoja.

Nitafute kupitia namba 0765886191 kwa ushauri zaidi. karibu!
 
Chukua ndizi 1 bukoba isage na maziwa glass 1 mpe , Ndizi ya kuiva 1 saga na Maziwa glass 1, Tambi chemsha saga na maziwa tia na Apple nusu, Maboga lishe au Gimbi una chemsha una sagia na maziwa fresh una yachemsha wewe mzazi siyo kumuachia dada!
 
Valentino
Kama maziwa ya mama hayatoshi sio salama kuendelea kumuweka katika maziwa ya mama tu. Inaweza kumletea mtoto shida kiafya. miezi mitano sio mbaya, mnaweza kumuweka katika mpangilio maalumu wa chakula utakao hakikisha anapata virutubisho vingine vya muhimu huku akiendelea taratibu na maziwa ya mama. Kikubwa epuka maziwa ya ng'ombe, ni mabaya kwa mtoto wa chini ya mwaka mmoja.

Nitafute kupitia namba 0765886191 kwa ushauri zaidi. karibu!
Ahsante nitakutafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna maziwa special ya formula kwa watoto ukienda supermarket au maduka makubwa ya vyakula utayakuta Yana umri kuanzia mwezi mmoja mpk miezi kumi na mbili.

Huku uswazi mtoto tunamlisha mapema Sana wengne wanaanzia hata miezi miwili, mtoto anaanzia uji wa kuchujaa, kwa muda flani akifika miezi mitano anapewa kila kitu ambacho binadamu anakula .japo kidaktar hawashauri ila hivyo hivyo na watoto wanakuwa na afya.

Kingine mama aendelee kunywa uji wa pilipili manga mpk mtoto afunge miezi sita
 
ahsante kwa ushauri, pili pili manga inasaidia nn kwa mama anayenyonyesha? pole usinichoke kwa maswali nahitaji kijua. ahsante
Kuna maziwa special ya formula kwa watoto ukienda supermarket au maduka makubwa ya vyakula utayakuta Yana umri kuanzia mwezi mmoja mpk miezi kumi na mbili.

Huku uswazi mtoto tunamlisha mapema Sana wengne wanaanzia hata miezi miwili, mtoto anaanzia uji wa kuchujaa, kwa muda flani akifika miezi mitano anapewa kila kitu ambacho binadamu anakula .japo kidaktar hawashauri ila hivyo hivyo na watoto wanakuwa na afya.

Kingine mama aendelee kunywa uji wa pilipili manga mpk mtoto afunge miezi sita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Valentino
Kama maziwa ya mama hayatoshi sio salama kuendelea kumuweka katika maziwa ya mama tu. Inaweza kumletea mtoto shida kiafya. miezi mitano sio mbaya, mnaweza kumuweka katika mpangilio maalumu wa chakula utakao hakikisha anapata virutubisho vingine vya muhimu huku akiendelea taratibu na maziwa ya mama. Kikubwa epuka maziwa ya ng'ombe, ni mabaya kwa mtoto wa chini ya mwaka mmoja.

Nitafute kupitia namba 0765886191 kwa ushauri zaidi. karibu!
Dah umeanza vizuri ila hiyo mambo ya kufuatwa private ndio umenchosha. Typical Tanzanians. Tutafanyaje sasa.
Ushauri wangu mwaga nyanga hapa kwa faida ya wote. Mwenyewe Niko na search hapa. Nakutana na eti nikufate pm. Argh
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom