yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,636
- 3,660
Salaam wakuu,
Ninaomba kwa anayejua anijuze nini sababu ya uke kutoa povu (maji yanayofanana na povu) wakati wa tendo la ndoa. Hali hii inatokea kiasi kwamba uume ukitoka ndani unakuwa umechafuka sana na huku maji mengine hayo yafananayo povu yakiwa yametapakaa juu ya uke.
Pia ningependa kujua kama hali hii inachangia kupungua kwa hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke.
Karibuni.
Cc; kim jong un
Mzizi Mkavu