Naomba msaada katika hili tatizo langu la kifua na mgongo

Passed

JF-Expert Member
Dec 15, 2017
561
156
Kifua na mgongo vinakuwa kama vimetiwa pili pili niliwah kucheck H paylol kipimo kilikuw positive nikapewa heligo kit box mbil na lecer gelly dose zimeisha lakin sina uhafadhali na nina mawazo ya mda mrefu yasiyokoma saiz na mishipa ya shingo inauma na kichwan pia kama kunachemk nikibonyeza bonyeza kwa kutumia vidole munauma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni gesi mkuu hata mimi nawaka moto sanaa
 
Tumia Osomeprazole week mbili itaisha hyo ni gesi mzee

Back
Top Bottom