Iwapo utagundulika kuwa na vidonda vya tumbo epuka matunda jamii ya Citrus kama limao na machungwa, Sigara, Pombe, Vyakula vyenye viungo vingi, pilipili, kafeni kama vile kahawa, chokoleti. Pia...
Habarini za majukumu ndugu zangu.
Nasumbuliwa sana na mgongo, niliwahi piga X-ray na imeonyesha pingili hazina mpishano mzuri kutokana na ukaaji chini muda mrefu. Dr alinishauri niwe navaa mkanda...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU TATIZO HILI
Wakuu nawasalimu.
Wakuu nasumbuliwa sana na hali ya kichefuchefu, kila mara baada ya kula nahisi kichefuchefu sana. Nimejaribu kutumia dawa za...
Kuwa makini unapochagua mtu wa kumuomba ushauri. Zingatia uzoefu wa huyo mtu kwenye jambo husika na ukaribu mlionao
Kuwa wazi juu ya unachotaka kushauriwa, elezea vizuri chanzo cha tatizo lako...
Habari wana jf, nimekuwa na tatizo linalonisumbua takribani miaka minne sasa, kucha zangu za vidole vya miguu zinaota kwa kuchimba nyama kitu ambacho wakati mwinginw hunisababishia maumivu makali...
Wandugu habari za leo!
katika pitapita zangu nimekutana na hii multi macca vitamin ikiwa inasifiwa kwa kuleta hamuu na stamini kwenye ndoa.
Sijawahi itumia ningependa kupata mrejesho kama...
Wadau nimekuwa nikifanya haya mazoezi 10km per day kila siku asbh. But magoti yanauma baadhi ya siku.
Kiatu natumia raba sole yake inanyama kubwa tu, nakimbia kuzunguka uwanja mpaka 10km itimie...
Habari JF doctors,
Tafadhali naomba kuuliza kuwa kuna uhusiano kati ya kitovu kikubwa kwa mtoto na kupatwa maumiv ya tumbo ya mara kwa mara hasa kipind cha baridi?
Mko poa madr wa jf
Wapendwa mimi Nina mtu wangu wa karibu ana tatizo la usikivu yaani hasikii vizuri. Ni tatizo la muda mrefu Sana Sasa swali liko hapa
Je Kuna vyakula au vitu ambavyo akila...
Salaam Watalaam wa Tiba na wana-JF kwa ujumla.
Bila kuwapotezea muda, ningependa msaada wenu kuhusu ugonjwa wa Kibofu cha Nyongo ambao unamsumbua sana mama yangu. Baada ya kwenda hospitali, mara...
Kujitenga ghafla na marafiki, familia na jamii
Kuongeza kiwango cha matumizi ya #pombe na #DawaZaKulevya
Tabia ya ukali ya ghafla na mabadiliko makubwa ya mhemko (mood swing)
Tabia ya ghafla...
Kuna hiki kitu kinaonekana cha kawaida na kimezoeleka na mtu sio rahisi kutokukifanya au kuki avoid. Lakini ukijaribu kukifikiria sana (deep thought) unagundua kuwa ni kitu cha ajabu sana na...
A malaria vaccine has proved to be 77% effective in early trials and could be a major breakthrough against the disease, say its developers from the University of Oxford.
Malaria kills more than...
Habari,
Wakuu naomba msaada. Mwanangu mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu amekuwa akitokewa na vipele miguuni (rejea picha hapo chini), akivikuna vinakuwa kama vidonda. Usiku vinamuwasha anateseka...
Natanguliza na salama kwa WaJF wenzangu.
Juzi nilijisikia kuwashwa mwili mzima na nikijikuna sifuri wala hapatokei vipele nilienda hospitali nikachomwa sindano. Baada ya wiki nikaanza kusikia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.