Wandugu habari za leo!
katika pitapita zangu nimekutana na hii multi macca vitamin ikiwa inasifiwa kwa kuleta hamuu na stamini kwenye ndoa.
Sijawahi itumia ningependa kupata mrejesho kama kuna mtu ameshasikia taarifa zake au katumia na kama kuna madhara yeyote.
Msaada tafadhari!