Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
Naomba kuuliza .Madini ya zinc kwenye mwili wa Binadamu yanasaidia nini ?
Asante sana kwa msaada wako ni chakula kipi chenye haya madini ya zinc broo
Upungufu wa madini ya Zinc mwilini una
uhusiano mkubwa sana na matatizo ya kuzaa
watoto njiti , kuota chunusi nyingi mwilini ,
watoto kuwa na uwezo mdogo darasani
kimasomo na matatizo mengine mengi ya
kimwili na kiakili.
yanaimarisha immune system, kufanya mtu awe na hisia za mapenzi(libido). .husaidia mtu ahisi ladha ya chakula mdomoni. .husaidia fertility na kuimarisha mfumo wa neva(hili ndio la muhimu sana)
It is needed for the body'sdefensive (immune) system to properly work. It plays a role in cell division, cell growth, wound healing, and the breakdown of carbohydrates. Zinc is also needed for the senses of smell and taste na mengine mengi.Asante sana kwa msaada wako ni chakula kipi chenye haya madini ya zinc broo

Oyster kumpata ndo mtiti unapoanziaIt is needed for the body'sdefensive (immune) system to properly work. It plays a role in cell division, cell growth, wound healing, and the breakdown of carbohydrates. Zinc is also needed for the senses of smell and taste na mengine mengi.
kuna issue moja hivi ya growth of body cells, ni pamoja na kuzalisha mbegu za kiume kwa wingi sana, ndio maana ukiwa na tatizo la nguvu za kiume unatakiwa kula vyakula vyenye zinc nyingi kama vile oysters na red meat ili kupata mbegu nyingi zenye afya. chakula chenye zinc nyingi kuliko vyote ni oyster (25) wakati red meat ni kama 5.2. angalia menu hii hapa, ila humo ndani chagua oyster na red meat ndio iwe priority.
View attachment 249009
kwa habari ya watoto, zinc inasaidia kukua, watoto wanahitaji sana zinc, mimba zinahitaji sana zinc for growth. pamoja na madini ya iodine, zinc pia inahitajika kutengeneza ubongo wa watoto ili uwe perfect na watoto wawe na akili wasiwe matahira...pia wawe na akili darasani.