Nina tatizo linanisumbua sana jameni

Mark ngengele

Member
Dec 27, 2019
17
0
Natanguliza na salama kwa WaJF wenzangu.

Juzi nilijisikia kuwashwa mwili mzima na nikijikuna sifuri wala hapatokei vipele nilienda hospitali nikachomwa sindano. Baada ya wiki nikaanza kusikia kwa mwili maumivu ya mishipa ya damu na kichwa inauma upande wa nyuma.
 
Kunywa maji kwa wingi. Sumu huweza kutoka mwilini kwa kukojoa mara kwa mara
 
Nilienda hospitali nikawaelezea wakanipima kisukari ,pressure na maleria wakakuta sina wakanipa pain killers pekee
 
Natanguliza na salama kwa WaJF wenzangu.

Juzi nilijisikia kuwashwa mwili mzima na nikijikuna sifuri wala hapatokei vipele nilienda hospitali nikachomwa sindano. Baada ya wiki nikaanza kusikia kwa mwili maumivu ya mishipa ya damu na kichwa inauma upande wa nyuma.
Si rahisi sana kuelewa u-halisia.
Lakini, yawezekana kile kilicholeta muwasho hakikuwa kitu kizuri. Hivyo bado kimekuwa na athari hasi kwa mwili.
Ni vyema kupata vyakula jamii ya kimiminika na dawa za maumivu huku ukitizamia hali yako. Kama unaona hali si njema, fika hospitali.

Pia, hatujui aina ya dawa uliyochomwa. Inawezekana hizo ni side effects zake. Kama hali si njema, ushauri ni kama hapo juu.

Au kuna suala jipya ambalo halihusiani na mawili hapo juu. Hivyo, fika kituo cha afya eleza kwa kadri unavyojisikia na utapata msaada zaidi.
 
Back
Top Bottom