Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari ya weekendi wana jamvi. Naombeni mnisaidie kuhusu tiba ya huu ugonjwa wa ngiri ya tumbo yani nakosa adi raha tumbo launguruma na miushuzi kibao kila dakika nashindwa adi ku perform...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani Nina tatizo la ngozi Naomba kujua Tiba yake ngozi Ina kakamaa miguu yote ilianza kidogo saiv naona inaongezeka Kama unajua dawa au namba ya dokta anaye weza nisaidia tafadhari
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Naomba msaada wenu. Wife wangu amekuwa na tatizo la kutopata usingizi wakati wa usiku na mjqmzito wa miez 3. Hii hali imekuwa tete sasa. Kwa maana anaweza asilale hata wiki nzima wakati wa usiku...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari wakuu mimi kijana wa miaka34 nina shida ya kushindwa kurudia raundi ya pili katika tendo kwa miaka 10 Sasa naraund ya kwanza ni dk8 nimemaliza na siwezi rudia Tena hata iweje mpaka baada ya...
10 Reactions
149 Replies
21K Views
Habari ndugu zangu. Leo nimekuja tena kijana wenu nikiwa na mada nyengine. Hivi karibuni kuna huu ugonjwa unao kuja kwa kasi sana wa bawasiri( ugolo) au kutokwa na kinyama sehemu ya haja kubwa...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Kweli mimi ni kijana nina umri wa miaka 22, sasa na sijawahi fanya mapenzi mpaka umri huu. Nilikuwa najihusisha na masuala ya kupiga punyeto, nimekuta humu wanaiita CHAPUTA. Nilianza kupiga...
2 Reactions
45 Replies
10K Views
Members naomba msaada wenu. Nasumbuliwa sana na kukosa choo and ikitokea nakipata inakua mithili ya choo cha mbuzi. Mpaka nakuja kupresent hapa nimetumia dawa nyingi sana kama lactulose(osmolax...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Kumekuwa na matangazo mengi kuhusu matibabu ya nguvu za Kiume kwa kutumia food supplements kama Agu, Mult Macca na nyinginezo. Nahisi wengi wetu tutakuwa tumezitumia na kuona ubora wake. Kwa kuwa...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Jana muheshimiwa Rais alisema hakuna tofauti kati ya ubongo wa mwanamke na ule wa mwanaume.. Naafiki kauli yake lakini wanasayansi wanasema kuna tofauti. Kuna mmoja ameniambia ubongo wa mwanaume...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, Bila kupoteza muda niseme kwamba nimekuwa nikiishi na tatizo ambalo kwa sasa naona linahatarisha mahusiano yangu. Nilikuwa na mahusiano yaliyodumu kwa miaka minne na kwa...
2 Reactions
88 Replies
13K Views
Wazee wa Pochi NENE mpo? Wavulana wengi wana tabia ya kuweka mkoba (WALLET) yenye inchi nusu au zaidi ikitegemeana na wingi wa vitu vilivyopo kwenye mkoba huo kwenye mfuko wao wa nyuma wa nyonga...
3 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimegundua nina tatizo sugu la kutafuna kucha kiasi kwamba sikumbuku ni lini nilitumia wembe au nail cutter, je hili ni tatizo gani na nawezaje kukabiliana nalo? Pia nina mazoea ya kunawa pale...
0 Reactions
235 Replies
62K Views
Habar wana jf nisaidie ndgu yangu alianguka na baiskel akaumia mkono kiganja kikavimba na akawa na kidonda kidogo. Sasa alipata matibabu ya kawaida leo ni siku ya 7 tangu aumie sasa leo kazidiwa...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Wataalam wa afya nawasalimu. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja, kuna mtu nae mfahamu mke wake ni mjamzito. Wakati anaanza clinic dispensary moja ya serikali hapa Dar alipimwa kila kitu...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Nahisi maumivu Kama ya kung'atwang'atwa mwilini. Sababu ni Nini????? Naomba kufahamu waungwana........!!!!
0 Reactions
0 Replies
748 Views
Habari kuna suala nimeskia watu wanasema chumvi ya mawe kwa wanawake walio jifinguaa ina matumizi mengi sana. Je, hivi chumvi ina kazi gani tena maana nasikia ni dili? Asanteni
0 Reactions
3 Replies
3K Views
wakuu wiki tatu Sasa nyumba haikaliki ni kelele zisizo na mwisho Uzuri mimi ni mumini mzuri wa tiba asilia hivyo nikaona nilitafutie hili uvumbuzi kiasili tena kienyeji kabisaa. Nisiwe na maneno...
1 Reactions
42 Replies
13K Views
Habari zenu wadau, For sometym nimekuwa naona watu wakijua mtu anabusha basi akikatiza mitaa ile wataanza kummock dat person in different ways including kujambisha (hopefully tunajua when i say...
1 Reactions
39 Replies
10K Views
•Kuwa na umri wa chini ya miaka 20 au zaidi ya 40 •Kuwahi kutoka kwa mimba hapo awali •Kuwa na uzani mdogo sana au mkubwa sana wa mwili •Kufanya kazi saa nyingi na zamu za usiku •Kuwa mweusi...
0 Reactions
2 Replies
915 Views
Habari za sasa hivi, Hivi tatizo la midomo (mdomo wa juu na wa chini) pamoja na meno kidogo kufa ganzi kila siku husababishwa na nini? Na tiba yake ni ipi?
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Back
Top Bottom