Salaam Watalaam wa Tiba na wana-JF kwa ujumla.
Bila kuwapotezea muda, ningependa msaada wenu kuhusu ugonjwa wa Kibofu cha Nyongo ambao unamsumbua sana mama yangu. Baada ya kwenda hospitali, mara kadhaa amekuwa akiimbiwa hilo ndo tatizo linalosumbua lakini bado hajapata tiba inayoeleweka.
Kwa muhtasari huo hapo juu, ningependa kufahamu kwa yeyote miongoni mwa Wanajamii wa JF wenye uelewa wa huo ugonjwa, na matibabu yake. Natanguliza shukrani zangu kwenu.
NOTE: Baada ya kutafuta tafuta mitandaoni, nimeona huko duniani, mbali na operesheni, dawa nyingine inayotumika ni ile inayoitwa Ursodiol. Je, hizi dawa zipo Bongo?