Uume unasimama lege lege sio kama mwanzo

scatter boy

Member
Mar 31, 2021
68
22
Kweli mimi ni kijana nina umri wa miaka 22, sasa na sijawahi fanya mapenzi mpaka umri huu.

Nilikuwa najihusisha na masuala ya kupiga punyeto, nimekuta humu wanaiita CHAPUTA. Nilianza kupiga punyeto nikwa form two 2016 na rasmi niliacha baada ya kuona madhara 2019 mwezi wa nne. Nilijua naishiwa nguvu baada ya kupata mtoto wa kike alikuja mageto cha ajabu muda wa kufanya mapenzi nilimvua kila ktu lakina uume wangu haukusimama kabisa hata kidogo nikaishia kuangalia tu.

Ilibidi nidanganye kuwa nimepigiwa simu kuna hela nimeambiwa niipeleke natakiwa nipeleke kwahiyo siku nyingine kama hatojali.

Nilikosa furaha sana mpaka apo nikaanza kutafuta dawa kweli nimekunywa dawa na dawa. Nilipata mtoto wa kike wa pili kwajili ya test ya dawa nilizotumia naye hivyo hivyo nilimvua uume haukusimama tukakaa geto kama kawaida nikadanganya ila huyu alivyotoka uume ulisimama kwa nguvu napo sikufanya chochote sababu alikua ameshaondoka ..naitaji msaada kama dawa nimetumia sana hizi za kienyeji na hata pia korodani zangu zinauma sana na pia kuna kipindi nilikua napata kama hamu ya kukojoa nikikojoa nakojoa manii au maji maji meupe please msaada jamani naumia sana....naomba msaada ata ushauri please ahsante
 
Huna ugonjwa wowote ni hofu tu imekujaa wakati wa kulifanya hilo tendo, suala lako ni la kisaikolojia zaidi hivyo yakupasa kwanza jenga uhusiano wa urafiki ili umzoee huyo mwanamke wako itakusaidia kujiamini na kuondoa hofu na kukupa majibu chanya..fanya hivyo mdogo wangu.!
Nilikaa nae nikamzoea nilikuwa nikikaa kuongea nae uume unasimama lakin sio strong ilikuwa inanipa hofu ya kumwomba tufanye mapenzi
 
Sawa kaka kwa mwanza hospital kubwa inayo usika na ayo maswala au kama una mjua doctor bingwa nambie kka

Ukifika hospital ulizia daktari aliyespecialize na urology... kama ukienda Bugando lazima watakupa ratiba ya lini anakuwepo.
 
Wewe Ni muoga..hofu inakujaa ukipata binti..najua mapigo ya moyo yanaenda mbio ukifikiria 'nitashindwa Tena atanicheka..'

Sasa nakupa kanunue vidonge vya kuongeza nguvu Gram 20 meza kabla ya tendo..jiamini..ukifanikiwa kufanya tendo..usirudie Tena kumeza dawa..hiyo itakuwa Ni starter..gari litakuwa limeweka
 
Punyeto ikipigwa kawaida haina madhara yoyote kwnye nguv za kiume acheni kudanganya watu! Labda upige bila kilainishi.. Hat hivyo uume kulegalega kuna umri ukivuka ni kawaida mbona wanaume wote "form two mpak 6" uume unakuw mgum umesimama kuangalia juu( hii inasbbishwa sana an uchu au hamu kupita kias) lakin juu ya hapo kawaida mnoo
 
Wewe Ni muoga..hofu inakujaa ukipata binti..najua mapigo ya moyo yanaenda mbio ukifikiria 'nitashindwa Tena atanicheka..'
Sasa nakupa kanunue vidonge vya kuongeza nguvu Gram 20 meza kabla ya tendo..jiamini..ukifanikiwa kufanya tendo..usirudie Tena kumeza dawa..hiyo itakuwa Ni starter..gari litakuwa limeweka
Aisee..
 
Mwaka flani nikiwa nimeenda mkoa flani kwa ajili ya masomo ya chuo nikajaribu kutafuta manzi wa kupiga.

Kwa kuwa sikuwa mtu wa kutaka kuonekana, nikawa nashindwa kutoka na manzi wa chuo... nikatafuta mtaani ila nikaona nitafute manzi wa kawaida sana nitoe genye na nisafishe nyota tu.

Chap chap nikakumbana na maza mmoja alikuwa na 30+ kwa wakati huo. Nikajisemea potelea pwete wacha nijimalize tu maana hakuna namna

Nikaenda nae kwake... hofu ya mazingira ya kwake na muonekano wake ukafanya mashine ipoteze nguvu na sikufanya lolote nikarudi hostel kinyonge sana!!

Ile hali ya kushindwa kumpelekea moto yule maza ilinitesa sana kiakili hadi mashine ikawa haisimami asubuhi. Nilikaa almost mwezi mzima bila kuona wala kuhisi mashine imesimama.

Nikaingia kwenye ulimwengu wa porno videos lakini bado ngoma haisimami, ni kama naangalia movie ya Yesu vile.

Siku moja nikakaa kuongea na akili yangu... nikajiambia mimi ni mwanaume rijali, nishagonga manzi kadhaa kabla tena show za kibabe, jogoo hafi kwa utitiri.

Ikawa ndo wimbo wangu wa kila siku kabla ya kulala na kila nikiamka kwa siku kama tatu tu nikajikuta mashina inasimama kama inataka kutoka kwenye ngozi yake

Hii story inaweza ikawa chai ila itakusaidia sanaaaaa. Huna tatizo kubwa isipokuwa unaiathiri akili yako kwa kudhania punyeto imekumalizia nguvu za kiume. Ongea na akili yako kiume na kwa kujiamini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom