Tetenasi imeingia mwilini msaada

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
2,780
2,712
Habar wana jf nisaidie ndgu yangu alianguka na baiskel akaumia mkono kiganja kikavimba na akawa na kidonda kidogo.

Sasa alipata matibabu ya kawaida leo ni siku ya 7 tangu aumie sasa leo kazidiwa leo sana anakosa pumzi anatoka Kama mapovu Sasa madokta wakawa wamegundua no tetenasi Sasa Hali nimbaya inazidi.

Wakuu msaada wa je mtu ambae tetenas imeingia mwilini tayar Tina yake ni nin Zaid aweze pona
 
Mkuu Tetanus ni ugonjwa mbaya Sana na ndo maana vaccine yake huwa ni muhimu kuliko matibabu yake, moja mpelekeni hospitali kubwa yenye ICU he has to be there in sedation with intubation equipments kumsaidia kupumua kwa Sababu mara nyingi huwa wanakuwa na muscular spasm hivo huwa hawapumui vizuri.

Lakini pia huwa hawahitaji any trigger because they can convulse anytime na ndo maana wanakua kwenye dark isolated room while In sedation with NGT..matibabu yapo lakini mpelekeni sehemu bora kwa matibabu

Polen Sana na Mungu amfanyie wepesi
 
Mkuu Tetanus ni ugonjwa mbaya Sana na ndo maana vaccine yake huwa ni muhimu kuliko matibabu yake,moja mpelekeni hospitali kubwa yenye ICU he has to be there in sedation with intubation equipments kumsaidia kupumua kwa Sababu mara nyingi huwa wanakuwa na muscular spasm hivo huwa hawapumui vizuri,Lakini pia huwa hawahitaji any trigger because they can convulse anytime na ndo maana wanakua kwenye dark isolated room while In sedation with NGT..matibabu yapo lakini mpelekeni sehemu bora kwa matibabu

Polen Sana na Mungu amfanyie wepesi
Pamoja na hayo yote wamuongezee na ATS( Anti Tetanus Serum) uwezekano wa kupona ni mkubwa
Sijaisikia muda miaka ile ya zamani ilikuwa maarufu kwenye Tiba ya Tetanus

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Habar wana jf nisaidie ndgu yangu alianguka nabaiskel akaumia mkono kiganja kikavimba na akawa nakidonda kidogo...Sasa alipata matibabu yakawaida leo nisiku ya 7 tangu aumie Sasa leokazidiwa leo Sana anakosa pumzi anatoka Kama mapovu Sasa madokta wakawa wamegundua no tetenasi Sasa Hali nimbaya inazid
Wakuu msaada wa je mtu ambae tetenas imeingia mwilini tayar Tina yake ni nin Zaid aweze pona
Aisee pole, sana kwahiyo hali

Lakini umesema Upo na Madaktari na Wamegundua shida sasa hapo Mkuu kipi ambacho wameshindwa kufanya???
 
Tunaishi kwa kudra za Mwenyezi Mungu. Unapata kibarua cha uhudumu Guest House. Usafi unadeki kwa mikono mpaka vyoo ni. Wateja wanaoingia hujui wametoka wapi.

Au uchungaji wa ng’ombe bila hata boot.
 
Habar wana jf nisaidie ndgu yangu alianguka nabaiskel akaumia mkono kiganja kikavimba na akawa nakidonda kidogo...Sasa alipata matibabu yakawaida leo nisiku ya 7 tangu aumie Sasa leokazidiwa leo Sana anakosa pumzi anatoka Kama mapovu Sasa madokta wakawa wamegundua no tetenasi Sasa Hali nimbaya inazid
Wakuu msaada wa je mtu ambae tetenas imeingia mwilini tayar Tina yake ni nin Zaid aweze pona
Huyo jiandaeni kumpeleka ICU walau siku thelathini, tena awe hospitali nzuri viginevyo mortality hapo ni 100%.

Ameanza kukamaa?, anaweza fungua mdomo?
 
Pamoja na hayo yote wamuongezee na ATS( Anti Tetanus Serum) uwezekano wa kupona ni mkubwa
Sijaisikia muda miaka ile ya zamani ilikuwa maarufu kwenye Tiba ya Tetanus

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Ipo mkuu nadhani japo sehemu niliyokua nasoma mimi muda mwingi walikua wanatukia anti tetanus human immunoglobulin
 
Huyo jiandaeni kumpeleka ICU walau siku thelathini, tena awe hospitali nzuri viginevyo mortality hapo ni 100%.

Ameanza kukamaa?, anaweza fungua mdomo?
Unanikumbusha mkuu mambo ya locked jaw na devil face(resus sardonicus) Kama amepata kweli tetanus hizo vitu n obvious n kama hajapat rigidity its a matter of time apate ATS au ATHI Ku neutralize tetanus toxin lakini awe ICU with intubations otherwise hali ni ngumu
Nitasimama nae kwenye maombi Mungu amtetee
 
Habar wana jf nisaidie ndgu yangu alianguka nabaiskel akaumia mkono kiganja kikavimba na akawa nakidonda kidogo...Sasa alipata matibabu yakawaida leo nisiku ya 7 tangu aumie Sasa leokazidiwa leo Sana anakosa pumzi anatoka Kama mapovu Sasa madokta wakawa wamegundua no tetenasi Sasa Hali nimbaya inazid
Wakuu msaada wa je mtu ambae tetenas imeingia mwilini tayar Tina yake ni nin Zaid aweze pona
Tetenasi ni mbaya sana kimbilia Hospitali haraka ukatibiwe upate kupona maradhi yako.
 
Tunaishi kwa kuddes za Mwenyezi Mungu. Unapata kibarua cha uhudumu Guest House. Usafi unadeki kwa mikono mpaka vyoo ni. Wateja wanaoingia hujui wametoka wapi.

Au uchungaji wa ng’ombe bila hata boot.
Ndiyo maana wanatakiwa kwenda kuchoma vaccine.. Tetanus ni mbaya sana, kukuua haichukui round
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom