Hili jani ni kiboko ya chango kwa vichanga

Dr hyperkid

JF-Expert Member
Jun 7, 2019
10,124
19,718
wakuu wiki tatu Sasa nyumba haikaliki ni kelele zisizo na mwisho

Uzuri mimi ni mumini mzuri wa tiba asilia hivyo nikaona nilitafutie hili uvumbuzi kiasili tena kienyeji kabisaa.

Nisiwe na maneno mengi japo sijalifahamu jina la jani hili ila nimefanikiwa kusanuliwa na mzee mmoja na kunambia hii Ni kiboko ya tatizo.

Kirahisi tuuh unaosha nakusaga kupata juice unampa ka kijiko tuuh mara mbili kwa siku

NB taratibu zote kitalamu za kuzuia chango nimezifuata ikiwa pamoja na kuhakiki mama anamcheulisha kila anapo maliza kunyonya,mkao mzuri wakati wa kumyonyesha ,kumkanda tumbo kwa mafuta kumsaidia kujisaidia nk

Pia nimefanikiwa kuambiwa mafuta ya samaki husaidia japo haimalizi tatizo.

Huu mmea huota maeneo ya maji Kama kwenye mito, chemichemi, maporomoko yamaji n.k.

Kifupi maeneo ya unyevunyevu midhili ya tindiga.

IMG_20210429_203516_3.jpg
IMG_20210429_203454_4.jpg
IMG_20210429_203339_5.jpg
 
Back
Top Bottom