Tatizo la kushindwa kurudia raundi ya pili kwa miaka10 sasa

Mkuu roud moja tu dk8 naona sitosheki mkuu
Hutosheki au mwenza wako ndio hatosheki?
Ungekuwa hutosheki basi mnara ungebaki unasoma 4G

Kitendo cha kushindwa kurudia au kuendelea ni kutosheka...
Hata mwanamke akitosheka kabla yako K inabadilika alafu anakwambia tupumzike au anakuwa hafurahii tena kama ukiendelea ilihali yeye ametosheka
 
Habari wakuu mimi kijana wa miaka34 nina shida ya kushindwa kurudia raundi ya pili katika tendo kwa miaka 10 Sasa naraund ya kwanza ni dk8 nimemaliza na siwezi rudia Tena hata iweje mpaka baada ya masaa nane.
Tatizo ni mwanamke au wanawake unaokutana nao hawakuhamasishi baada ya goal la kwanza, au una msongo wa mawazo au kuchoka
 
Mkuu sio dakika mim nilitaka niwe nauwezo wakurudia roud zingne maana mwenza sianakua anahitaji muendelee hata baada ya SAA moja niweze kusimama tuendeleee Sasa inakua tofaut haisimami
Ili ujue uko sawa, panga mademu 2 kwenye hotel moja au zilizoko karibu ukishamaliza goli la kwanza nenda kwa wa 2 na mashine itakua sawa kabisa, huna tatizo
 
Back
Top Bottom