Mdomo pamoja na meno yanakufa ganzi. Nini tiba?

Mdomo pamoja na meno yanakufa ganzi. Nini tiba?

KibonaVicent

New Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
1
Reaction score
0
Habari za sasa hivi,

Hivi tatizo la midomo (mdomo wa juu na wa chini) pamoja na meno kidogo kufa ganzi kila siku husababishwa na nini? Na tiba yake ni ipi?
 
The food you eat and the toothpaste you use. Pls jaribu kuadjasti unaweza kupata mabadiliko mzuri. Eating habits za very cold food ni hatari. Some ^dawa za meno^ ni incompartible kwa baadhi ya watu.
 
Back
Top Bottom