Je, creatine monohydrate inafaa kwa watu wembamba?

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2021
Posts
549
Reaction score
562
Habari zenu wakuu nilikuwa nauliza creatine monohydrate inafaa kwa kujaza body kwa mimi mtu mwembamba maana upper body imeisha sana nilianza gym lakini sijai wala nini hivi hizi supplement (poda) zinamsaada na hazina madhara kwa mtumiaji.

Watu waliniambia nitumie creatine monohydrate ya vidonge nikweli inanifaa nina kilo 65 lakini mikono membamba nataka kujaa kiasi.

Ushauri wenu muhimu wataalam wa gym na powder.
 
Jitahidi ule misosi yenye protein kwa wingi, itakusaidi katika muscle recovery

Samaki, nyama, maziwa, mayai nk na misosi yenye Fat mkuu. Hapa utapata calories za kuburn wakati una workout.

zingatia sana

Hizi supplements ni kama za ziada tu hupaswi kuzitegemea zenyewe pasipo lishe

Ndio maana zikaitwa "supplements".

Kwa supplements nitaku recommend Russian bear au Amino Hardcore.
 
Fanya haya
*Whey Protein
*Meal yenye protein
*Mazoezi ya mikono hasa wa nyuma (Tri)
 
Jitahidi ule misosi yenye protein kwa wingi, itakusaidi katika muscle recovery

Samaki, nyama, maziwa, mayai nk na misosi yenye Fat mkuu. Hapa utapata calories za kuburn wakati una workout.

zingatia sana

Hizi supplements ni kama za ziada tu hupaswi kuzitegemea zenyewe pasipo lishe

Ndio maana zikaitwa "supplements".

Kwa supplements nitaku recommend Russian bear au Amino Hardcore.
Shukrani amino acid bei gan wanauza na pills ngap inafaa nitumie
 
Habari zenu wakuu nilikuwa nauliza creatine monohydrate inafaa kwa kujaza body kwa mimi mtu mwembamba maana upper body imeisha sana nilianza gym lakini sijai wala nini hivi hizi supplement (poda) zinamsaada na hazina madhara kwa mtumiaji.

Watu waliniambia nitumie creatine monohydrate ya vidonge nikweli inanifaa nina kilo 65 lakini mikono membamba nataka kujaa kiasi.

Ushauri wenu muhimu wataalam wa gym na powder.
Ningekuwa na uwezo wa kurudisha muda nyuma, basi ningefanya hivyo na kurudi kwenye wembamba wangu wa asili.

Sijui ni kwanini ukiwa kijana, hutambui wala kuthamini ulivyoumbwa na mwenyezi Mungu.

Ninachotambua ni kwamba, kuna age ambayo mtu hufikiria zaidi anavyoonekana kuliko yeye mwenyewe anavyojiona.

USHAURI WANGU:

Wewe ni wewe na ni vizuri ubaki kuwa wewe. Uache mwili wako uende unavyotaka na sio wewe unavyotaka.
 
Nitumie hii no
Kg 65
Kama unatak misuli,punguza mafuta mwilini na acha kula vyakula vyenye wanga sana na sukari.
Fanya mazoezi ya asubuh mara mbii kwa week na week,kula protien nyingi na carbs kidogo,mboga za majani kwa wingi na matunda kama unauwezo tumia mafuta ya olive oil kupikia chakula chako.
Tumia whey kama shake kwa asubuh na jion,unaweza changanya na maji au maziwa ila maziwa nunua yale ya low fat.

Mm sio mwandishi mzuri kama kuna sehemu hujaelewa niulize.
 
Umeelewa mzee
 
Back
Top Bottom