Naombeni maelekezo ya kutumia Misoprostol kwa ajili ya safe abortion

insert vidonge viwili geti kuu la chini na vingine viwili chini ya ulimi
 
Inatumiwa kwa kuweka chini ya ulimi ahakikishe muda alioweka asimnyonyeshe mtoto mchanga , mpk kidonge kiyayuke kabisa kikibaki kile kigumu ameze ila

Aandae pedi na maji ya uvuguvu kwa ajili ya kuwa anajisafisha pale mimba inakapoanza kuporomoka
otumia dawa hizi?

Mifepristone pamoja na misoprostol: kawaida husababisha mimba kutoka baada ya saa 4 hadi 6. Mkakamao wa misuli tumboni wenye maumivu (wakati mwingine maumivu makali sana) na kutokwa na damu nyingi ikiwa na mabonge huanza takriban dakika 30 baada ya kutumia mifepristone. Damu nyingi hutoka katika saa 4 hadi 6 za mwanzo baada ya kutumia misoprostol. Damu huendelea kutoka kwa wiki 2 lakini hupungua sana baada ya wiki 1.

Misoprostol pekee: kawaida husababisha mimba kutoka ndani ya saa 4 hadi 12.

Dalili za ujauzito kawaida hutoweka baada ya saa 48. Kama utaendelea kujisikia kama bado una mimba, nenda kliniki au hospitalini ukachunguzwe. Kuna hatari ya madhara kwa mtoto atakayezaliwa kama utaamua kuendelea na ujauzito huo.
 
Mwogopeni mungu wenu hivi jamani kuua ni dhambi chukulia wewe kama mzazi wako angekunywa hizo dawa wewe ungekuwepo? Tumia kinga ili usiingie kwenye dhambi ya kuua nakushauri usitoe toe hiyo mimba acha mama azae utawatunza tu hao watoto kwa maziwa ya ngombe na lactogen pia tunaompa ushauri anatuingiza kwenye dhambi ya mauaji
 
kuliko kutoa mimba ambayo itahatarisha na afya ya mama na mtoto ni bora

umuue huyo mtoto mchanga (eeeh muue kuepusha athari kwa mama na icho kiumbe)

NB: huna haja ya kutoa mimba kuna fawa za kienyeji mama anapewa kuepusha madhara kwa mtoto (anaye nyonya) mwisho wa siku unakuwa na watoto wa 2 bila kuhatarisha afya ya mama pia.
 
Hizi dawa zinauzwaje Kwa bei yake. The same case happened to me
 
Back
Top Bottom