Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

8 Reactions
126 Replies
4K Views
Wanawake na wanaume maana siku hizi hata wanaume nao wanasuka rasta kuna jambo muhimu sana la kulifahamu na kujifunza zaidi! Afya ni moja ya mtaji mkubwa sana katika maisha yetu ya kila siku bila...
0 Reactions
0 Replies
185 Views
Wengi wamekuwa wakiuliza juu ya ugonjwa huu; mjadala huu tunajadili kwa undani juu ya maradhi haya: ========= UFAFANUZI WA KINA WA UGONJWA HUU Ugonjwa kwa kitaalamu vinaitwa human papillom virus...
5 Reactions
174 Replies
201K Views
Habari Wana JF Haponyuma nilileta tatizo la kuumwa na kiuno Hadi miguu kuwaka moto. Mrejesho :Nilienda hospital nikafanyiwa x Ray nakuonesha niposawa ikabidi wanipeleke kwenye MRI ambapo majibu...
2 Reactions
14 Replies
690 Views
Hello wanaJF. Mimi na mke wangu tumetafuta mtoto Kwa mwaka mzima sasa bila mafanikio. Juzi nikaenda hospitali na kufanya vipimo vifuatavyo ... 1. Sperm/Semen Analysis: 2. Testosterone: 3...
4 Reactions
47 Replies
9K Views
Habari Wana JF siku tatu nyuma nilileta thread ya kulala na muathirika. Watu wengi walinishauri nikapime na wengine walinishauri nianze kuchimba kaburi, Kwa siku ya Juzi nilifanya dhiara kwenye...
3 Reactions
14 Replies
665 Views
Habar wakuu huwa napima ECG na majibu huwa yanabadilika ndani ya miaka3 tangu 2023 ilianza sinus rhythm with left ventricula hypertroph ,ikaja sinus bradycardia na hii yawezi huu majibu sinus...
0 Reactions
1 Replies
179 Views
Huwa nachanganyikiwa kwa kweli. Maana utakuta unaambiwa unatakiwa kutafuna asubuhi kabla ya kula. Huku wengine wakisema hata kama umekula ni sahihi. Je , upi ni wakati sahihi?
1 Reactions
18 Replies
637 Views
Habari Wana JF Wiki mbili zilizopita nilikutana na dada mmoja jirani yangu tukabadilishana mawasiliano Baada ya mawasiliano Yakama siku mbili alipafahamu kwangu na akaja kunitembelea . Kutokana...
6 Reactions
80 Replies
2K Views
Wakuu heshima yenu Kwa anayejua sehemu nzuri ya kufanyia masaji ya low back kwenye mgongo na miguu misuli inakaza sana kwa hapa Dar penye gharama nafuu naomba kuelekezwa mambo ya kuenda muhimbili...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Jamani msaada mti gani unaweza kupambana na hawa wadudu, wanao sababisha homa ya tumbo ?? Kama kuna muhanga aliyetumia mti fulani ukamsaidia Tunaomba taarifa.
2 Reactions
48 Replies
1K Views
Habari
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Msaada wadau nina uhitaji na tadalafil 5g ila nimezisaka sana bila mafanikio pharmacy nyingi wana 20g
2 Reactions
12 Replies
579 Views
Wakuu, kwanza sitaki kusema kwamba kutumia Dawa ni jambo baya ni jambo zuri sana ila unapotumia Dawa hakikisha unatumia km ulivyoelekezwa na Mtoa Huduma ya Afya. Kisa changu ni hiki: Siku hio...
14 Reactions
60 Replies
2K Views
Wakuu, Kuna dawa nilitumia mafua yakakata ndani ya masaa kadhaa tu japo pua ilikuwa kama inaungua. Niliuziwa Mbeya mtu alikuwa anapita nazo tu hotelini. Hii dawa naitafuta tena kwa yeyote anajua...
1 Reactions
1 Replies
413 Views
Naomba msaada wanajf wenzangu, Nina tatizo la tumbo kujaa gesi pamoja na kuunguruma, maumivu ya tumbo kuzunguka kiuno, shingo kuuma na hata maumivu ya mgongo, kuna nyakati hata kichwa huwa...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wakuu, Kimsingi, kuna nguvu ya asili inayoumba uwepo wa uhai duniani. Kati ya nguvu nyingi, nishati ya umeme ni moja ya muhimu inayoumba maisha. Jua limekuwa chanzo kikuu cha nishati hii 🌞...
5 Reactions
7 Replies
663 Views
Habari Wana JF Kunaswala Moja ambalo naona kama halipo sawa. Ukifwatilia kiundani tofauti ya vipimo hivi vya X ray,CT scan na MRI unagundua kua MRI nikizuri nahakina mazara sababu kinatumia...
9 Reactions
76 Replies
3K Views
Nina siku nne sijapata haja kubwa. Nikienda chooni naishia kujamba tu. Nitakua na tatizo gani?
14 Reactions
61 Replies
2K Views
Back
Top Bottom