Majibu: Sperm analysis

D

Dimma

Member
Joined
Aug 15, 2017
Messages
67
Likes
69
Points
25
D

Dimma

Member
Joined Aug 15, 2017
67 69 25
Hello wanaJF.

Mimi na mke wangu tumetafuta mtoto Kwa mwaka mzima sasa bila mafanikio. Juzi nikaenda hospitali na kufanya vipimo vifuatavyo ...

1. Sperm/Semen Analysis:
img_20190315_121225-jpg.1046108

2. Testosterone:
img_20190315_121539-jpg.1046109

3. FBC:
img_20190315_121335-jpg.1046110

4. Urine:
img_20190315_121503-jpg.1046111

Taarifa za nyongeza:

===> Rangi ya Manii zangu ni 'light yellow' kwa kiasi kikubwa. Chache sana (tone moja hivi) ni rangi nyeupe/kijivu.
===> Manii ni nyepesi. Zinayeyuka haraka.
===> Kwenye tendo la ndoa, nikishamwaga ndani ya uke, manii zote zinachuruzika kutoka nje hata kama mwanamke amelala chali.

Naombeni ushauri wenu ndugu zangu. Je kwa vipimo hivyo, afya yangu ya uzazi iko vizuri?

Ahsanteni.
 
kapalamsenga

kapalamsenga

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2013
Messages
5,970
Likes
3,364
Points
280
kapalamsenga

kapalamsenga

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2013
5,970 3,364 280
Hello wanaJF.

Mimi na mke wangu tumetafuta mtoto Kwa mwaka mzima sasa bila mafanikio. Juzi nikaenda hospitali na kufanya vipimo vifuatavyo ...

1. Sperm/Semen Analysis:
View attachment 1046108

2. Testosterone:
View attachment 1046109

3. FBC:
View attachment 1046110

4. Urine:
View attachment 1046111

Taarifa za nyongeza:

===> Rangi ya Manii zangu ni 'light yellow' kwa kiasi kikubwa. Chache sana (tone moja hivi) ni rangi nyeupe/kijivu.
===> Manii ni nyepesi. Zinayeyuka haraka.
===> Kwenye tendo la ndoa, nikishamwaga ndani ya uke, manii zote zinachuruzika kutoka nje hata kama mwanamke amelala chali.

Naombeni ushauri wenu ndugu zangu. Je kwa vipimo hivyo, afya yangu ya uzazi iko vizuri?

Ahsanteni.
Huyo Dr aliyekwambia ukapime ndiye alitakiwa akupe ushauri baada ya majibu. Aseme nn tatizo katika hayo majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mahatmaxlla

mahatmaxlla

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Messages
708
Likes
954
Points
180
mahatmaxlla

mahatmaxlla

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2017
708 954 180
Checkup ya mwanamke analysis yake iko wapi chief??pengine labda shida iko kwake coz kwa pic hizo hamna tatizo kwa upande wako.suala la maniii kumiminika nje ya uke ni kawaida kuna mimillion ya manii for only one bao na haziwezi toka zote nje wala baki zote ndani.

Manii yako inaafya kwa kiwango kikubwa sana na hamna abnormality yeyote hapo.
Ushawahi jihusisha na shuguli za migodini,x-ray treatment,au kunywa pombe Kupita kiasi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vladimir Lenin

Vladimir Lenin

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Messages
1,483
Likes
1,388
Points
280
Vladimir Lenin

Vladimir Lenin

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2018
1,483 1,388 280
Shida kiasi naiona kwenye motility mkuu, ili fertilization iweze kutake place sperm lazima ziwe na uwezo wa kuogelea kwa wingi wa kutosha. Kwa case yako sperm zenye uwezo ni asilimia 30 tu, asilimia 80 hazina uwezo kabisa na asilimia 20 zinamove lkn kwa shida mno. Kimsingi piga diet ambayo itaboresha sperm motility.

Mwanamke sijampeleka kumcheki bado.

Hapana mkuu, sijawahi kufanya kazi migodini wala x-ray treatment. Pombe nakunywa very occasionally.... mara moja hata kwa miezi 3. Ahsante sana kwa mchango wako
 
Blessed

Blessed

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Messages
2,759
Likes
685
Points
280
Age
32
Blessed

Blessed

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2011
2,759 685 280
Waliotoa majibu ya vipimo walisemaje na kushaurije?
Nje ya mada :-
1. Gharama ya vipimo na kiasi gani ?
2. Wanapokea bima za NHIF?
3. Ni hospitali gani hiyo?
 
prince mrisho com

prince mrisho com

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Messages
2,093
Likes
1,273
Points
280
prince mrisho com

prince mrisho com

JF-Expert Member
Joined May 2, 2015
2,093 1,273 280
Hello wanaJF.

Mimi na mke wangu tumetafuta mtoto Kwa mwaka mzima sasa bila mafanikio. Juzi nikaenda hospitali na kufanya vipimo vifuatavyo ...

1. Sperm/Semen Analysis:
View attachment 1046108

2. Testosterone:
View attachment 1046109

3. FBC:
View attachment 1046110

4. Urine:
View attachment 1046111

Taarifa za nyongeza:

===> Rangi ya Manii zangu ni 'light yellow' kwa kiasi kikubwa. Chache sana (tone moja hivi) ni rangi nyeupe/kijivu.
===> Manii ni nyepesi. Zinayeyuka haraka.
===> Kwenye tendo la ndoa, nikishamwaga ndani ya uke, manii zote zinachuruzika kutoka nje hata kama mwanamke amelala chali.

Naombeni ushauri wenu ndugu zangu. Je kwa vipimo hivyo, afya yangu ya uzazi iko vizuri?

Ahsanteni.
Hivi vinakwenda ngapi gharama zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vladimir Lenin

Vladimir Lenin

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Messages
1,483
Likes
1,388
Points
280
Vladimir Lenin

Vladimir Lenin

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2018
1,483 1,388 280
Checkup ya mwanamke analysis yake iko wapi chief??pengine labda shida iko kwake coz kwa pic hizo hamna tatizo kwa upande wako.suala la maniii kumiminika nje ya uke ni kawaida kuna mimillion ya manii for only one bao na haziwezi toka zote nje wala baki zote ndani.

Manii yako inaafya kwa kiwango kikubwa sana na hamna abnormality yeyote hapo.
Ushawahi jihusisha na shuguli za migodini,x-ray treatment,au kunywa pombe Kupita kiasi??

Sent using Jamii Forums mobile app
Cheki vzr kwenye sperm motility

Sent using Jamii Forums mobile app
 
D

Dimma

Member
Joined
Aug 15, 2017
Messages
67
Likes
69
Points
25
D

Dimma

Member
Joined Aug 15, 2017
67 69 25
Shida kiasi naiona kwenye motility mkuu, ili fertilization iweze kutake place sperm lazima ziwe na uwezo wa kuogelea kwa wingi wa kutosha. Kwa case yako sperm zenye uwezo ni asilimia 30 tu, asilimia 80 hazina uwezo kabisa na asilimia 20 zinamove lkn kwa shida mno. Kimsingi piga diet ambayo itaboresha sperm motility.

Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks mkuu. So ni vyakula gani vya kuboresha sperm motility?
 
Capybara

Capybara

Member
Joined
Sep 29, 2018
Messages
62
Likes
41
Points
25
Capybara

Capybara

Member
Joined Sep 29, 2018
62 41 25
D

Dimma

Member
Joined
Aug 15, 2017
Messages
67
Likes
69
Points
25
D

Dimma

Member
Joined Aug 15, 2017
67 69 25
Waliotoa majibu ya vipimo walisemaje na kushaurije?
Nje ya mada :-
1. Gharama ya vipimo na kiasi gani ?
2. Wanapokea bima za NHIF?
3. Ni hospitali gani hiyo?
Mimi naomba kuuliza mkuu..ukienda kupimwa huwa nurse anakupigisha nyeto au unapiga mwenyewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sperm analysis pekee ni TSH 30,000.

Ukipima na hivyo vipimo vingine vya ziada (testosterone, FBC, urine, na VDRL) gharama zinaongezeka na kufikia TSh 170,000/= jumla kuu.

Nilienda Bugando. Sina BIMA, nililipa cash.
 
mahatmaxlla

mahatmaxlla

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2017
Messages
708
Likes
954
Points
180
mahatmaxlla

mahatmaxlla

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2017
708 954 180
Mwanamke sijampeleka kumcheki bado.

Hapana mkuu, sijawahi kufanya kazi migodini wala x-ray treatment. Pombe nakunywa very occasionally.... mara moja hata kwa miezi 3. Ahsante sana kwa mchango wako
Mkuu ni vizuri zaidi kama ungefanya checkup na upande wa pili(mwenza wako)sperm mobility kidogo ndiyo haiko sawa na ndiyo maana nikauliza kuhusu shughuli zako.
Lakin hii mobility haina madhara kwenye utungaji wa mimba na kufika kwenye ovaries kufika zina fika (30% out of 100%) lakini why fertilization haitokei hapa ndiyo pakujiuliza

The exact cause for low sperm motility can vary. Some men may have a genetic cause, while others may have an undiagnosed medical condition. Lifestyle and environmental factors also play a big role in sperm motility. Smoking,millitary work, painting o repeated trauma to the pelvic area na vitu vingine kama hivyo.

Kwa ushauri kuna baadhi ya njia zinazoweza rise up hiyo level ya motility of the sperm kama vile exercise regularly, maintain a healthy weight, limit cell phone exposure, reduce alcohol, quit smoking.

Kumbuka kumpeleka mwenza wako wakamcheck na yeye kwenye via vyake vya uzazi uwenda yy ndiyo big deal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Blessed

Blessed

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Messages
2,759
Likes
685
Points
280
Age
32
Blessed

Blessed

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2011
2,759 685 280
Sperm analysis pekee ni TSH 30,000.

Ukipima na hivyo vipimo vingine vya ziada (testosterone, FBC, urine, na VDRL) gharama zinaongezeka na kufikia TSh 170,000/= jumla kuu.

Nilienda Bugando. Sina BIMA, nililipa cash.
Shukrani kwa majibu mkuu! MWENYEZI MUNGU akujalie kupata wana na mabinti kwa kadri ya wema na fadhili zake!
 
Forum statistics

Threads 1,272,376
Members 489,924
Posts 30,449,310