Habari wakuu nashida ya kupata mkojo nanikisema ninywe maji labda lita 3,nazinywa ndani ya nusu saa ila mkojo napata baada ya saa moja nanusu.
Nkipata tu mkojo mkojo wakwanza utakao toka unatoka...
Habar wakuu nimekuja kwenu mim Nina uzito wa 80kg na urefu wa 164cm,nauliza maji kwa siku natakiwa niywe Lita ngap ndani ya masaa 24,na pia mkojo kwa siku natakiwa kutoa Lita ngap kwa siku kiafya
Mwenye anajua jinsi ya kumsaidia kupunguza maumivu au kuondoa kabisa maumivu ya tumbo kwa mwanamke kipindi Cha period
Pisi yangu ikiwa period inateseka almost siku nzima anaumwa tumbo atari...
Hamjambo natumai mupo wazima naomba kueleweshwa ni zipi dalili za ugonjwa au h-pylori, maana natamani kwenda kupima huu ugonjwa kutokana na homa za mara kwa mara zinazonikabili ila niliwahi kuskia...
Habari wakuu nkiwa safarin safar ya walau masaa 2 nakuendelea miguu huvimba, Hali hii imeanza kipindi Cha ndani ya miaka2 ,je hapa ntakua matatizo gani
Habari zenu, kuna kijana kafariki kwa sababu ya madonda ya tumbo hapa mtaani, inasemekana ametapika sana damu kabla ya mauti kumkuta na sio mara ya kwanza, hivi madonda hayahaya yanaweza...
Wakati Figo zimeshindwa kufanya kazi yake. Dayalisisi ni njia ya bandia ya kutoa uchafu na maji yasiyohitajika mwilini. Njia bora ya kuokoa maisha kwa watu ambao Figo zao zimedhoofika kabisa...
Kwa ufupi sana ni kusimama kwa ghafla kwa moyo" au "shtuko la moyo". Hali hii hatari hutokea wakati moyo unapoacha kufanya kazi ghafla na bila kutarajiwa, na kusababisha mtiririko wa damu kwenye...
Kuna tiba kadhaa za asili zinazoweza kusaidia kuboresha tatizo la uume, lakini ni muhimu kushauriana na mtoa huduma ya afya kabla ya kujaribu matibabu yoyote mapya. Baadhi ya tiba zinazowezekana...
“Leo natimiza mwaka mzima bila kufanya tendo la ndoa 😅 afya bado iko stable, pressure ipo sawa, moyo unadunda vizuri 💪🏽 sijui huu ni ushindi au mateso wakuu?”
Miili yetu hufika ukomo wa ukuaji unapofikisha miaka 35, kwa lugha rahisi mwili kua active kutengeneza cell mpya zenye ubora pia utimamu wa misuli na akili peak yake ni miaka 35, hivo basi kabla...
Mimi nimelazwa regency hospital wiki ya pili sasa nina shida ya kifua sasa oxygen kilasiku inashuka nimewekewa oxygen lakini still inashuka leo imefika 68 naombeni msaada nipewe rufaa mloganzila...
Habari zenu waungwana?
Naomba kuwauliza wataalamu wa humu.
Leo alfajiri majira ya saa 10 hivi nimekunywa dawa za minyoo zinazoitwa Albendazole.
Sasa baadae leo jioni nina miadi na jamaa zangu...
Kupiga punyeto (kujichua) mara nyingi huchukuliwa kama kitu cha kawaida, lakini ukweli ni kwamba ni tatizo linalosababisha madhara makubwa kiafya na kisaikolojia. Watu wengi wanaozoea kufanya hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.