Tiba ya genital warts kwa mwanaume

Tiba ya genital warts kwa mwanaume

Aise huu ugonjwa umening’ang’aniaga balaa hospitali nimeenda mpaka basi nimetumia podoflin kama mara tatu naishia tu kuungua ngozi. Kuna ile pensel imeishia kunichoma tu, kuna utomvu wa papai unauma balaa lakini wapi kuna vitungu swaumu mixer asali wapi, kupandisha kinga nishakula sana vitunguu swaumu wapi mpaka nikaamua kuvikata na wembe ndo nikaharibu zaidi. Kuna muda nashukuru zimenipunguzia michepuko kwa kuona aibu
 
Pole fika kotuo kilicho karbu yako upate matibabu
 
Tiba ninayo mkuu ni uhakika dawa ya kupaka matokeo siku ya pili panakua smooth vinapotea 0712505049 bei elf 30 tu
 
Aise huu ugonjwa umening’ang’aniaga balaa hospitali nimeenda mpaka basi nimetumia podoflin kama mara tatu naishia tu kuungua ngozi. Kuna ile pensel imeishia kunichoma tu, kuna utomvu wa papai unauma balaa lakini wapi kuna vitungu swaumu mixer asali wapi, kupandisha kinga nishakula sana vitunguu swaumu wapi mpaka nikaamua kuvikata na wembe ndo nikaharibu zaidi. Kuna muda nashukuru zimenipunguzia michepuko kwa kuona aibu
Ebwanaeee, kaka pole pole pole pole sana me nselewa unayoyapitia coz i was once infected na hiyo kitu but aaah kupona inshitaji mbiringe sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom