Je kwa kipimo hiko, mimba ipo?

Je kwa kipimo hiko, mimba ipo?

Mr Confidential

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,545
Reaction score
2,479
Naomba kujua kama kuna pregnancy au laa. Observation baada ya kupima ni;

1. Mstari wenye rangi nyekundu iliyokolea
2. Mstari wenye rangi iliyofifia (unaonekana kwa mbali)
20220913_131131.jpg
 
Nakuhurumia, kwa jinsi pampas zilivyopanda bei jipange haswa
 
Naomba kujua kama kuna pregnancy au laa. Observation baada ya kupima ni;

1. Mstari wenye rangi nyekundu iliyokolea
2. Mstari wenye rangi iliyofifia (unaonekana kwa mbali)View attachment 2355465

Soma karatasi ya maelekezo iliyokuja na kipimo. Inatoa maelekezo ya usome ndani ya kipindi gani majibu.
1: kama picha ilipigwa ndani ya huo muda jibu ni ujauzito.
2: kama picha imepigwa nje ya muda husika basi majibu si sahihi.

NB: Majibu yatafriwe yakihusisha historia sahihi ya muhusika, kwani kuna matatizo mengine ya kiafya pia yanaweza kukupa majibu kama hayo.
 
Kabla sijakujibu embu nikuswalike kidogo,,,,ina baba hiyo au?
 
Back
Top Bottom